Mpira wa Tanzania hauwezi kukua Kwa sababu umejaa ubaguzi (1)kuibagua timu ya taifa ya wanawake hata wakifanya vizuri bungeni hawaitwi japo ndio timu pekee inayocheza Kwa uzalendo na wangefika mbali zaidi kama wangepata sapoti (2) siku simba na yanga zikiuzwa ndio tutapata timu nzuri ya taifa Kwa sababu hawa ndio wanauwa soka letu Kwa ubaguzi wao na kuacha wachezaji wazuri walioko timu zingine (3)vijana waache utozi tabia zao za kuendekeza ngono wapatapo ela inachangia pia kuuwa soka mfano wakipata ela baadhi huongeza wake
Sent using
Jamii Forums mobile app