Aliyesoma CBG naweza kusomea Medicine?

mtu akiwa na BCB ya cbg anaweza kusoma medicine
 
unatakiwa kweny bio&chem uwe na cut off points atleast 5.5 so unaweza ukapata pale bugando ila kwa shart lifatalo o'levl uwe umesoma physics na kupata crdt pass atleast C ya zaman pia uwe umefaulu bam a'levl,vp hapo unafit?
 
Kwenye CBG Nina B plain flat. BAM nime pass(C). Ila O-level PHY nina D imekaaje hiyo?
 
Kwenye CBG Nina B plain flat. BAM nime pass(C). Ila O-level PHY nina D imekaaje hiyo?

Hapo physics ya O'level imekuharibia, lkn usikate tamaa you can carry on and taste your luck...

Kukushauri tu, kwa ufaulu wako+comb yako, kama unataka field ya afya you can do Bsc. Prosthetics & orthotics ya KCMC, you'll never regret dogo.
 
Kutokana na kozi nikifanikiwa naja kua m2gani? Unajua sisi Undegraduate wangi hukimbilia kozi mashuri kwasabu ya kufahamu hatima yake. Nandomana wengi hung'ania kwenye hzi za MD o PHAMACY
 
Kutokana na kozi nikifanikiwa naja kua m2gani? Unajua sisi Undegraduate wangi hukimbilia kozi mashuri kwasabu ya kufahamu hatima yake. Nandomana wengi hung'ania kwenye hzi za MD o PHAMACY

Anhaaa...
Hiyo prosthetics and orthotics ni sayansi ya mifupa na viungo bandia, so unapiga kazi sawa na Dr lkn wewe utaspecialize specifically ktk mifupa+viungo bandia...
Niliacha hiyo kozi, sasa hivi najilaumu usiku na mchana.
 
Za`sasa kama vyuo vikuu hawatazi-question, then kuna mtu amekupa mfano wa Bugando you can try. Good luck!

dah tayar physics ishakuwekea doa but never mind u may try ur lucky..,stil unaweza apply bpharm&bsc nursing(stjohn).,bsc nursing (muhas),bsc geology(udsm),veterinary medicine (sua)..pia kwa ushauri tu pass yako ni kubwa so usijarbu kuinclude udom kwny choices zako
 
Anhaaa...
Hiyo prosthetics and orthotics ni sayansi ya mifupa na viungo bandia, so unapiga kazi sawa na Dr lkn wewe utaspecialize specifically ktk mifupa+viungo bandia...
Niliacha hiyo kozi, sasa hivi najilaumu usiku na mchana.

Thanks Brro!!.
 
kuna tatizogani na UDOM tena?
 
kuna tatizo gani na UDOM tena?
 
Milango pia bado iko wazi ,soma geology vizuri ,ndani ya miaka 5 kwenye kazi utakua unatafutwa kuliko dhahabu,na ndege utakua unapanda kama daladala za dar kwenda kufanya explorations nje.
 
md unaenda mana jamaa yangu alipiga cabage minaki na phys alikuwa na d olevel ila nw yupo md bugando so kama una b flat unaenda kiroho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…