Kwenye CBG Nina B plain flat. BAM nime pass(C). Ila O-level PHY nina D imekaaje hiyo?
Ikiwa umesoma CBG A-level unaweza kusoma medicine

hupati ..chalii .angu ..wanakudanganya.... bugando... nao .wnataka .pcb . ata .pharmacy. ya xa iv ni pcb.. ata ..prosthetics.. ni ..pcb. afu .slots. zko. 10. tu.. ambazo .mimi ..na marafk zangu tumeshaaply.. wote ..tuna tano .. A na .B .plus... mbili ....ko hawawez... kukuchukua ....nenda .....education...
Hapo physics ya O'level imekuharibia, lkn usikate tamaa you can carry on and taste your luck...
Kukushauri tu, kwa ufaulu wako+comb yako, kama unataka field ya afya you can do Bsc. Prosthetics & orthotics ya KCMC, you'll never regret dogo.

mkuu ONTARIO nimeipenda hiyo paragraph ya mwisho... sema wengi hawaijui hiyo kozi.... hii kozi ya viungo iko KCMC tu kwa mashariki mwa africa...nadhani mtoa mada aifikirie na hii pia maana future yake iko vizuri.. kwa kuongezea tu....kuna veterinary medicine SUA..
Dad LORDVILLE, tatizo wanao siku hizi tumekariri sana, pia tunafanya kila kitu kwa mazoea, tunajudge fortunes zetu kwa kile tunachokiona kwa sasa bila kutrace its long run...
Dad LORDVILLE, tatizo wanao siku hizi tumekariri sana, pia tunafanya kila kitu kwa mazoea, tunajudge fortunes zetu kwa kile tunachokiona kwa sasa bila kutrace its long run...
hupati ..chalii .angu ..wanakudanganya.... bugando... nao .wnataka .pcb . ata .pharmacy. ya xa iv ni pcb.. ata ..prosthetics.. ni ..pcb. afu .slots. zko. 10. tu.. ambazo .mimi ..na marafk zangu tumeshaaply.. wote ..tuna tano .. A na .B .plus... mbili ....ko hawawez... kukuchukua ....nenda .....education...
Hahaha hata mm PCM sijui naweza kupata doctor of medicine?
Habar za jion ......msaada et mtu akitaka kua mtaalam wa madawa asome course ipi na hyo course inapatikana katka vyuo vp hapa tz???......