Aliyesoma community development, wizara gani anaweza pata kazi?

Nkulu wa nchito

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,112
Reaction score
1,429
Eti waungwana mtu ambaye amesoma course ya community development ni wizara gani anaweza pata kazi.
 
Tusubr wajuvu wa hii kitu wanakuja📖.
 
Eti waungwana mtu ambaye amesoma course ya community development ni wizara gani anaweza pata kazi
"amesoma course ya community development" Pamoja na comment iliyotangulia .i.e. TAMISEMI lakini pia Wizara nyingine huhitaji watu wenye Taaluma hiyo e.g. Mambo ya ndani wanawahitaji pale Dawati la Jinsia; Afya wanawahitaji pale Jinsia, Wazee na Watoto yaani tuseme Wizara yoyote alimradi inajihusisha na Shughuli za kuiendeleza Jamii ama kwa kutumia Asasi za kiserikali e.g. TASAF au Direct kwa Miradi ya maendeleo ndani ya Jamii - Uhamasishaji, Ufundishaji na kuendesha mchakato wa Mbinu za Kuibua na Kupanga vipaumbele katika Miradi ya Jamii n.k.
Hii ni tofauti na Ustawi wa Jamii ambayo Ustawi wa jamii imekaa kisheria zaidi.
I stand to be corrected
 
Kwahyo hata wizara ya afya mkuu
 
Fursa zipo Halmashauri kuwa Afisa Maendeleo ya Jamii, pia ngazi ya Kata kama Mtendaji wa Kata, Mtaa au Kijiji kutegemea na level ya elimu yako
Safi kabisa Mkuu. La msingi ni asiwe ni mtu anayechagua kituo au nafasi. Akiambiwa aende kijijini asianze "Oh! kijijini na Degree yangu?! au akiambiwa ajitolee kwanza kwa muda kidogo asianze "Oh! sijaja kutangaza enjili hapa"
 
Eti waungwana mtu ambaye amesoma course ya community development ni wizara gani anaweza pata kazi.
The field is very broad. Naweza kufanya hadi customer care, administration, Afya, kilimo, hadi viwanda kwenye mambo ya mobilization maana yote hayo amesomea
 
Halmashauri, manispaa na kwenye NGO's

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Back
Top Bottom