Aliyesoma HGK asome kozi gani chuo kikuu kulingana na uhitaji wa soko la ajira kwa sasa?

Aliyesoma HGK asome kozi gani chuo kikuu kulingana na uhitaji wa soko la ajira kwa sasa?

lee gangmo01

New Member
Joined
May 5, 2016
Posts
2
Reaction score
2
Wadau wa jamii forums kwema?

Niko hapa kupata mawazo yenu kama ilivo kawaida kupeana ujuzi katika vitu vinavyotuzunguka, nina dogo langu kahitimu advance mwaka huu na kapiga hgk, so dogo now huwa ananiomba ushauri kila kukicha kuwa broo before results hazijatoka uwe unanisaidia mawazo ili zikitoka basi nitume maombi chapu. Kwa wenye uzoefu kwa mtu aliepiga hgk wadau kulingana na uhitaji wa soko la ajira kwa sasa, huyu dogo inabidi apige nini University?
 
Back
Top Bottom