B Com human resources zama hizi ni kupoteza ada na muda chuoni.
Nje ya hizi kozi nazozitaja usiende chuo kikuu zama hizi
1. Law sababu huwezi kuwa mwanasheria bila degree ya sheria
2. Medicine sababu huwezi kuwa daktari bila degree ya udaktari
3. Na degree za Engineering