Aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaweza kusoma school of law?

Aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaweza kusoma school of law?

josee88

Member
Joined
Dec 5, 2016
Posts
13
Reaction score
21
Mtu aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaeza pata nafas ya kusoma school of low?
 
Law School of Tanzania Act inaeleza sifa za kujiunga na shule hiyo ya sheria nchini
 
Wala asihangaike kama ni school of low, ila kama anataka kusoma school of law ajaribu kwenda kwenye chuo chao akaulize.
 
we ndo unataka kuwa mwanasheria?hasara kwanza sio school of low ni law school vitu viwili tofauti
 
Mtu aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaeza pata nafas ya kusoma school of low?

Kama ndo hivyo hutoruhusiwa kusoma mzee hawahitaji wenye elimu ya aina yako
 
Back
Top Bottom