Aliyetaka kuongea na Mimi kwa Mara ya Mwisho Kabla ya Kujiuwa- Je katumwa na Mungu?

Hiyo ni moja ya case tu kakuonyesha.
Sio gays wote wamejifunza au kujizoesha. Wengi wameumbwa hivyo tena wako wengi sana. Mshazoea gay mpaka avae skuna na kitopu 🤣 .
Gays ni wanaume wanaovutiwa kimapenzi na watu wa jinsia yao yaani wanaume wenzao iko hivyo hata kwa wanawake pia. Mambo ya hisia hayo.

Kwani baba chanja wako ulijifunza au kujizoesha kumpenda ?? Si Ni hisia za upendo juu yake. Ndio iko hivyo Sasa.
 
Hakuna kitu Kama hicho,hakuna mwanaume anazaliwa akiwa anampenda mwanaume mwenzake hayupo na hatakuja kutokea hizo ni tabia mbaya tu mnajifunza na mnashindwa kuziacha case closed.
 
Acha unafiki . Mbona hujawahi kuacha kuzaa kwasababu ya ugaidi , vita, magonjwa ,njaa, ujambazi, uchawi umeona ushoga tu ? 😀 Ukiona mwanao kaingia ujue ndio destiny yake.
Hivi shoga hakudhuru wewe unateseka na nini ? Hebu acheni watu waishi bwana .
 
Hakuna kitu Kama hicho,hakuna mwanaume anazaliwa akiwa anampenda mwanaume mwenzake hayupo na hatakuja kutokea hizo ni tabia mbaya tu mnajifunza na mnashindwa kuziacha case closed.
Nakuombea Kwa Mungu akuletee watoto wa namna hiyo kwenye kizazi chako ili somo ulipate kwa uzuri. Halafu tuone case uta-close au utafanya nini
 
Toka MWENDAZAKE AENDE ZAKE,

KUNA JUHUDI KUBWA SANA ZA KUSAPOTI USHOGA .....

MAANDIKO KAMA HAYA YANASAPOTI NA KUAMSHA USHOGA KUWA NI SAWA TU ETI TUUKUBALI.....

MANENO NA HADITHI ZA KUTUNGA.....

WAPENDWA TUUPINGE USHOGA KWA NGUVU ZOTE......

WAHUNI HAWAWEZI KUTUSHINDA
 
Hahaha akili za kushikiwa bhana. Kwahiyo mwendazake ndio aliwashikia akili hata kutafakari na kuchunguza Mambo hujui.

Mwendazake mbona alisapoti na waraka ulitolewa watu wasibugudhiwe ,wewe ulikua wapi mwenzetu ? au ndio bado ulikua hujanunua smartphone ?

Kuupinga kwa nguvu zote ?? 🤣 Hivi ni lini mshawahi kupinga kitu kikafanikiwa ? Mnaishi tu kwa kudra na huruma za Mwenyezi Mungu, unapoteza tu muda fanya tu shughuli nyingine

Kila mtu ana haki na uhuru kuishi kwa namna anaona inamfaa ili mradi adhuru mtu.
Wewe kama unataka kupinga kapingane na Mungu aliewaumba utuletee majibu .
 
Eee bibie ... ama shangazi FATMA KARUME....

Kwanza kumbuka wewe ni MWISLAM ambayo ni dini inayokataza na kupinga na kutoa adhabu kali kabisa kwa hao unaowatetea,
Bi FATMA KARUME usichanganye dini na tumbo.....
Kwanini unatetea uovu huu mkuu ambao ALLAH ameukataza????
 
Binafsi nimesoma na watu zaidi ya w3 wenye hali hiyo, wanatengwa sana na washkaji, na mara nyingi marafiki zao huwa ni wanawake. Kwa dini yangu USHOGA ni haramu na unaweza kuuawa kwa kosa hilo.

Ili tuweze kuwasaidia wasianze kupigwa pumbu, hakuna uwezekano wa dawa ya kubalance hizo hormone??

Kama zipo kwanini zisitumike??

Kama hiyo haitoshi hao watu ndio walipaswa wawe WATAWA na MAPADRE ili kazi zao ziende sawia kabisa.

Vinginevyo, kemea hilo pepo.
 
kuna ka akili kananambia kuwa mhusika ni wewe mwenyewe sasa sjui ni kweli au ntarudi
 
Kitaalamu case yake tunaita "Persistent Müllerian duct syndrome " ni pale mwanaune anapozaliwa na female reproductive parts either fully developed au partial developed ila pia amekutikana na case ya pili ambayo ni "hypoandrogenemia " kikawaida hili la pili ni ilikuwa lazima awe nalo kwa sababu ya la kwanza hapo ila maeleso yako yanajichanganya hapo juu.

Umesema ana muonekano wa kiume halafu hapo hapo ana higher than normal female hormones , hapa ilitakikana awe na muonekano wa kike kwa kiwango kikubwa sana .

Kingine ni kwamba
Hormonal imbalance haikufanyi wewe kuwa shoga , kuzaliwa na undeveloped uterus haikufanyi kuwa shoga pia .

Na Nilitarajia angekuwa hana hamu yoyote ya sex hapo sawa ila kutaka kuingiliwa bado hai make sense kama unataka proffessional evidence naweza kukuwekea hapa ukasome hizi case watu wengi huwa mna zi exaggerate sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…