Aliyetoa mabango ya CCM apewa kesi ya wizi wa ng'ombe kwa silaha

Halafu SAMIA anaruhusi haya mambo yanaendelea.....halafu eti anaunda tume!
 
Hii ya siku nyingi hii, sijui ilitishia wapi?
 
It could be worse. Angeweza kupotezwa kabisa au kubambikiwa kesi ya mauaji. Hiyo ndiyo Serikali dhalimu ya CCM.
Ila haya mashetani!!πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…