Aliyetufikisha Uchumi wa Kati ni Kikwete na siyo Magufuli, acheni kudanganya!

Ngoja ifike zamu ya Kikwete uone, kama mimi na wewe tutakuwa bado hai utagundua kitu kuhusu swala la kupendwa kwa hawa watu wawili.

Yule jamaa pamoja na roho yake ngumu ila alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kusoma psychology za kundi kubwa la watanzania, aliteka mno watu kiasi kwamba hawakuwa na muda tena wakufatilia mabaya yake.
 
Pumzika kwa amani JPM. Wacha wafitini waendelee kuungua mioyoni. Yani watu wasipomtaja JPM hawaoni raha, duh!
Hawezi kupumzika kwa amani, ni moto tu mwanzo mwisho
 
Yule jamaa pamoja na roho yake ngumu ila alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kusoma psychology za kundi kubwa la watanzania, aliteka mno watu kiasi kwamba hawakuwa na muda tena wakufatilia mabaya yake.
CHATo tu!! aliwateka kweli!! ....unaongelea kwa level ya chato!! lkn kitaifa na kimataifa maweee!! utacheka mpaka unye hapo to south hawakumjua vyema!!... mfano mdogo tu nakupa angalia siku ileee! wamekwenda na Kikwete SOUTH yaani Kikwete alionekana ndo Rais!

Jiwe alikuwa km mpiga zumari tu wa Rais kikwete ndo ukweli!!.......hakuwa na sura ya mvuto wa kimataifa km wenzake waliopita! eti anaogopa kusafiri atamaliza hela heee!! yaani kilaza sana yule!!

aliogopa kutega kopo anajidai anakila kitu hiyo ni akili kweli?? Mkeo tu unampa hela ,nyumba, lishnke, lkn usijifanye eti unaweza jitegemea bila mke!!! km ni ivo? ebu nikuulize Papuchi unayo??...utapika weye??kuosha nyumba! wanao!! utaweza??...sauti nzuri ya mahaba utajipa ayo??

ukiweza haya yooote usioe ...jitegemee tu!! wewe ni jike dume?? Pia Duniani hapa na mbinguni tunategemeana sana tu!! wkt Mungu anawasaidizi wewe ni nani usisaidiwe na nchi nyingine? km kweli umeumbwa kwa mfano wake?

hata huyo Shetani na ubabe wake wooote anawasaidizi wake .....na hao hao wazungu ndo wanatengeneza na kumpa hizo hela yaani hata ufaham mdogo tu km ivi jamani alikuwa hana!...huyo ni mtu au mahiti inayotembea?

Maskini wengi mna asili ya roho mbaya, wivu uchoyo umimi ndo maana Mungu wetu yule tajiri mwenye Duniani na vyote vilivyomo anawanyima mpaka uhai! weee subiri tu nikiwa Rais tu! ntatoa siri zooote zakutekwa MO Dewj, Anzoli gwanda clouds nk, na madudu yooote nk! niombeee niwe Rais uone moto!
 
Watanzania bwana, hizi fake Id zinafanya muone kama tunalingana kwa kila kitu humu. Mimi huwezi kuniita masikini, sijawahi hata kuupitia umasikini tangia nimezaliwa mpaka sasa na uzee wangu huu.

Siwezi kubishana na wewe, baki hovyohivyo.
 

ufukara gani uliuona kilolo ?
 
Wewe ni mmoja wa wafuasi wa watu badala ya kufuatilia mantiki nzima ya urais wa CCM. Wote wawili ni watekelezaji wakuu wa sera za chama chao.

Yapo aliyofanya Nyerere akaishia njiani akafuatia Mwinyi akayafanya na mengi hakuyamaliza akaishia njiani akaja Mkapa na imekuwa hivyo mpaka kijiti kilipopokelewa na RIP Magufuli.

Kuwatendea haki ni kuwatizama wote kwa ujumla wao sio kuwa mfuasi wa Team Kikwete au Team Magufuli, wote ni watendaji wakuu wa sera zile zile.
 
Kuna watu wanamchukia Marehemu kwa vile alisimamia discipline kwa kiboko kiasi kuwa wakisikia jina lake tu presha inapanda na kushuka. Kwa hiyo kwao wenyewe Tanzania iliongozwa na Kikwete tu ambaye kwake discipline ilikuwa ni neno tu lislokuwa na maana yoyote. Hapo ndipo ujue tabia zetu watanzania.
 
Katika uongozi wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania, uongozi wa Msoga ulikua mbovu kuliko yote. Hili halina ubishi na hata watoto wadogo wanalijua, nchi ilikua jalalani inajisifia yenyewe kaja msukuma Jembe kaiinua sasa hivi mnaongea. Subirini tena iiingie kaburini ijifie huko.
 
Hizi ndizo akili walioachiwa sio kosa lao wasemehe. Yule jamaa aliifanya nchi kama familia yake na wafuasi wake wakatuona hivyo. Walisahau kwamba alikuwa mpangaji na siku akitoka hawatapona. Hiki ndicho kinachowatafutana leo, hawakutegemea kwamba siku sponsor akiwa hayupo nao watakosa ulaji.
Ni upumbavu kuziita flyover au ndege za Magufuli wakati zinanunuliwa kwa Kodi yako wewe, mimi na yule.
 
Watanzania bwana, hizi fake Id zinafanya muone kama tunalingana kwa kila kitu humu. Mimi huwezi kuniita masikini, sijawahi hata kuupitia umasikini tangia nimezaliwa mpaka sasa na uzee wangu huu.

Siwezi kubishana na wewe, baki hovyohivyo.
Acha porojo za fake ID!!...... kwani hata mie ukinijua ndo utanifanya nini kimfano!!... nasimamia nachokiamini!....Maskini anajulikana kwa Kauli, akili na Matendo yake tu!!... wala haihitaji sijui nikuone unavoishi!!.....zaidi kwanza!!!

kiukweli wa moyo na uzoefu tabia zetu Matajiri hatusemagi saana! kuwa tuko ivi au vile! hata watoto wetu, ni wapoleeee!! kwa asili kama marehemu Mengi! Bakhresa!nk. wao watajijua kupitia watu wengine! kuwasema walivo!

Lkn Maskini utamjua tu kujitutumua weee!!.......nikuonyeshe kwamba wewe ni maskini kweli!!.... kusema eti ''hujapitia umaskini'' weye ni muongo tu!!!....hkn koo nzima eti ni matajiri tuu!! kwa bongo hiyo nayo ijua!! lazima utakuwa na

shangazi, mjomba au Distatnt cousin, Rafiki Maskini na lazima siku moja utaenda ishi kwa mmoja wao hao!!!...hapo uta experience umaskini wao na watu wengine!!....na km utaishi maisha ya juuu tu kwa wazazi wako!! bado utajiona ni maskini tu.

sababu hauta ujua umaskini ukoje!... umaskini utaujua kutokana na watu wanavo kusema au kuishi maisha hayo!! badae ugundue kuumbe niko drja flani lkn umeshapitia huko utauthamini utajiri wako!! Nyerere tu pale Butiama ana ndg maskini kibao weye nani??

Ok!!labda km hujasoma lkn km umesoma kweli!! shule km Boarding school, vyuo nk, tunaishi naMatajiri kwa Maskini wengi tu! na halisi kabisaa wengine wanatualika makwao!! tunakaa nao tunawajua kiivo!

kuniambia huujui umaskini ndo inaonesha ulivyo maskini kweli kweli! kwa sababu hujui ulinganyo uliopo!!...hata ukiwa tu tajiri mtaani vitoto vyote vya mtaani kwenu!! kila siku vinataka uafiki!
 
Unaadika huku roho inakuuma sana kenge wewe mlamba viatu vya gaidi
Bana kuba kwani viatu vikiwa! visafi na vitamu kuna shida gani bana kuvilamba!!.....sasa ebu muangalie wajameni mtu alitaka kumuua Mpinzani wake akafa yeye!!...badala yake mpinzani kapona kafa muuaji mweee!! sasa nani roho inauma aliye fiwa au aliye na uzima???

acha watu waamue!! swali rahisi kabisa hili Mfiwa na mzima nani naumia roho??? nani analia? nani anatafuta mchawai? ...sasa km hujafiwa!! hujatukashfiwa!! unakula na kusaza hapo Msoga!! Roho ikuume kweli?? au umechanganyikiwa ndugu!!!

Naomba unywe maji kwanza halafu urudi!!... uko sahihi sana wewe jamaa hivi utayaweza lamba yale mabuti machafu ya jiwe aliyo kuwa anafanyia usafi???? kulee naniliu........lkn JMK mawee utalamaba tu kiatu kiko KLM saa zote hakigusi vumbi kile baba!
 
Hili swala la umasikini limekuja baada ya wewe ku-quote comment yangu kwakusema kwamba "masikini tuna roho mbaya" NARUDIA TENA:-

Mimi sio masikini na sijawahi kuuishi umasikini tangia nitoke kwenye tumbo la mama yangu mpaka hapa nilipofikia, namshukuru Mungu kwa hilo.


Swala la wewe kulazimisha mimi kuujua umasikini sidhani kama ni hoja ninayoweza kukaa na kupoteza muda wangu kujadili na wewe.
 
Ni kweli!! Kamwe sijalazimisha kuwa wewe ni maskini ila narudia kuwa ''Matajiri hatusemagi!! kwanza hatujijui ...... nikakupa na mifano!!
nasema wewe ni maskini ............kwa......... kauli na matendo yako! km kweli una roho mbaya basi jua weye bago ni maskini tu usiyejijua na huchomoki hapo!
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tajiri gani asiyejijua kuwa ni tajiri?? Sioni sababu ya kuendelea kubishana na wewe, baki jinsi unavyolewa.
 
Tajiri wa Matajiri!! hasa hawajijui!! ndo maana wanatafuta bila kuchoka!! Usiku na mchana!.....akishajitambuatu! kuwa yeye ni tajiri kwakuambiwa na watu!!! anatulia!! sasa!! lkn tayari hela yake iko kwa mzunguko mrefu!!! inabidi hapo sasa atulie aendelee kuizungusha!!

lkn ukiona umejitambua mapema kuwa u tajiri weye. baaaasi umekwisha una bweteka!!! ni rahisi hapo kurudi chini kabisaa kwa mavumbi!!....... hivi?? kuuumbe unabishana????...... mie nakuelimisha bure!!!....ukilewa ni wewe!! samahani mie siyo mlevi!
 
Njoo ule, ndo mida yenyewe hii mkuu.

Itakusaidia upate nguvu za kudhurura na kujibu magazati marefu kama hayo kwenye kila nyuzi.
 
Kwani aliyesema ni jpm alitufikisha hapo ni nani au unachachawa tu,

Huo uchumi wa kati wala si wa kikwete pekee, maana kama taifa vipimo vya uchumi sii vya miaka mitano au kumi pekee, hivyo huo uchumi wa kati mchangiaji mkuu ni Mkapa, julius na mwinyi nao pia wana nafasi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…