Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kuna modal ya Min Power Tiler nimeiona ikitrend. Imeundwa kwa injini ya piki piki. Je inaweza kazi au haiwezi.
Naomba alieitumia anipe ushuhuda.
Picha kwa niaba ya TIKTOK.
Naomba alieitumia anipe ushuhuda.
Picha kwa niaba ya TIKTOK.