Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
Ndoo nimekiona huku mkoani nataka nikichukue kama mashuhuda watanipa abc.Hicho ni Kipawatila
Sema sidhani kama kitakuwa Kazikazi, sababu injini yenyewe ni ndogo.Ndoo nimekiona huku mkoani nataka nikichukue kama mashuhuda watanipa abc.
Hio ni CC 150 sasa kanaweza kutengeneza peer pressure kiasi gani ?Sema sidhani kama kitakuwa Kazikazi, sababu injini yenyewe ni ndogo.