Aliyetumwa akachungulie mwaka 2025 amerudi amechoka sana, hana hamu na alichokiona

Aliyetumwa akachungulie mwaka 2025 amerudi amechoka sana, hana hamu na alichokiona

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Anasema bado ajira ni tatizo mtaani licha ya matangazo mengi ya nafasi za kazi.

Bado mashoga wanapigania haki zao kama haki zingine.

Bado watu wananunua upendo, toa pesa upate penzi.

Bado mikeka inachanika kwa kasi sana ukiweka over inatoa under.

Aliyetumwa ameona wadada wengi wakiuza utu kwa iPhone.

Anasema waliofanikiwa hawaamini kwenye kusafisha njia na hadithi nyingi za mafanikio zimejaa simulizi za kutisha.

Huko vyuoni kuna watu hawataonekana darasani lkn mtawaona kwenye maafari.

2025 cheo ni vita, wafanyakazi wanapishana sana kwa waganga.

Sad story aliyetumwa akachungulie mwaka 2025 anasema kuna watu hawaoni.

Mtag mwanao wa faida asipitwe na andiko muhimu
Mkweli Alcantara
 
Back
Top Bottom