Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Tanzania , Mchezaji anasajiliwa bila kufanyiwa vipimo; Tumeona Yanga Ajibu baada ya kusajiliwa ndo anafanyiwa vipimo;
Ngoma kasjiliwa baada ya usajili kapelekwa south africa kuendelea na matibabu\\
Ongezea na Hussein Tindwa, aliyefia uwanjani.Si bora hao ambao wamempima baada ya kusajili je wale ambao hawapimi kabisa unawaitaje? Umesahau yaliyotokea kwa kiongera na yule beki wa Burundi?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app