Aliyeturoga: Mchezaji anasajiliwa kabla ya kufanyiwa vipimo

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
Ni Tanzania , Mchezaji anasajiliwa bila kufanyiwa vipimo; Tumeona Yanga Ajibu baada ya kusajiliwa ndo anafanyiwa vipimo;
Ngoma kasjiliwa baada ya usajili kapelekwa south africa kuendelea na matibabu\\
 
Si bora hao ambao wamempima baada ya kusajili je wale ambao hawapimi kabisa unawaitaje? Umesahau yaliyotokea kwa kiongera na yule beki wa Burundi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Sie tuko dunia ya peke yetu

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Ngoma kasajiliwa au kaongeza mkataba?

Bora hao waliowapima baada ya usajili kuliko wale ambao hawawapimi kabisaa
 
Acheni kufanya maisha yawe magumu kiasi hicho.
 
Hii ni sawa na kutunga sheria za madini wakati madini yashachimbwa miaka kibao.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni sawa na kutunga sheria za madini wakati madini yashachimbwa miaka kibao.

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
ha ha ha;
 
Mkapa yupo sawa ile kauli yake "[HASHTAG]#Wapumbavu[/HASHTAG]".

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
hili hata mimi nilishangaa..yaani mnamsajili mchezaji halafu ndo mnaenda kumpima? na pesa ameshachukua? mkimkuta ana ngoma au mifupa yake ina matatizo mnafanyaje? mnamdai pesa? huu UPUUZI MBONA TUMEUKUMBATIA SANA?
Ni Tanzania , Mchezaji anasajiliwa bila kufanyiwa vipimo; Tumeona Yanga Ajibu baada ya kusajiliwa ndo anafanyiwa vipimo;
Ngoma kasjiliwa baada ya usajili kapelekwa south africa kuendelea na matibabu\\
 
Reactions: R.B
Ha ha haaaa

Haiwezekani... wakoje hao viongozi sijui wamiliki wa hizo timu!?
 
Si bora hao ambao wamempima baada ya kusajili je wale ambao hawapimi kabisa unawaitaje? Umesahau yaliyotokea kwa kiongera na yule beki wa Burundi?

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ongezea na Hussein Tindwa, aliyefia uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…