Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
Ndo nipitie humo mkuu shukrani-Compony law
-Law of Contract
-Consequences of contract breaks
-Labour law
-Environment law
-Agreements and Contacts
-Bilateral cooperations and Mutual Agreement
Sawa shukrani japo Kwenye JD hawakuweka maelezo mengi sana tu walitaka watu wanaohusika Kwenye administrationJipange tu na nondo zako especially zinazohusiana na JD ya kazi zako.
Ulifanya programu ya Eacop mooc ?Habari wakuu
Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema
Chochote haswa kwa watu wa administration
Sijawahi Fanya interview yoyote walitoa tangazo mwezi huu mwanzoni Leo ndo nimepata email kwamba kesho kutakua na online testUlifanya programu ya Eacop mooc ?
Vipi ? ndio interview ya kwanza kwako tangia umalize ile programu ya Eacop mooc ?