NamuhitajiKuna mtaapam yuko Tanga unarudishiwa vitu vyote tena wanakuja kwako wezi wote walioviiba hata kama ni group la watu 10
Sent using Jamii Forums mobile app
Done
Nipp mchakato mzimaBoss wangu aliibiwa vifaa vya gari yaani jamaa waliondoka na Taa, Music systems, sijui machine za vioo etc. Nikakabidhiwa jukumu la kuwatafuta na kurudisha vifaa.
Ni story ndefu ila baada ya usumbufu mkubwa sana tukafanikiwa kuvipata vyote isipokuwa cover la tairi ya nyuma, gari ilikua Rav4.
Kitochi Original
Waone au ongea na vijana wa hapo mtaani na waahidi pesa, watakurudishia vitu vyako vyoteNipp mchakato mzima
Duhhh..Waone au ongea na vijana wa hapo mtaani na waahidi pesa, watakurudishia vitu vyako vyote
Yaani ununue vitu vyako ulivyoibiwa?,wezi wengine wanatoka mbaliWaone au ongea na vijana wa hapo mtaani na waahidi pesa, watakurudishia vitu vyako vyote
Kuwa makini. Hapa ndio itaingia ile msg 'mjomba asante vile vitu vyangu vyote nimevipata,wale wezi wamerudisha wenyewe. Yule mganga kiboko' msg hii ikiingia na hali uliyonayo unapigwa tena.Habari ndugu zangu.
Nishaibiwa zaidi ya mara tatu kwenye uwizi wa majumbani na kutapeliwa lakini hili limeniuma la kuvunjiwa na kuibiwa vitu vingi.
Kwa uchunguzi wa awali nimegundua anaweza akawa mtu anaenifahamu.
Nataka nitumie njia yoyote ile halali na haramu asili na ya kisasa nimpate hutu mtu.
Kama kuna mtu ana ushuhuda alipata vitu alivyoibiwa kwa njia zingine mimi nipo tayari
Mpwa, alitaka nieleze vile nilivyofanikiwa kurejesha hivyo vifaa! Sikumshauri afanye hivyo, yeye ndio anajua thamani ya vitu vyake. Sisi vile vifaa vingefika zaidi ya 2m sasa kama tukitoa laki tatu shida ni nini?
Boss wangu aliibiwa vifaa vya gari yaani jamaa waliondoka na Taa, Music systems, sijui machine za vioo etc. Nikakabidhiwa jukumu la kuwatafuta na kurudisha vifaa.
Ni story ndefu ila baada ya usumbufu mkubwa sana tukafanikiwa kuvipata vyote isipokuwa cover la tairi ya nyuma, gari ilikua Rav4.
Kitochi Original
Ushahidi wa wapi? Polisi? Sitakaa nipeleke kesi Police, yaani wewe ndio umepata majanga lakini ukifika wanataka uwape pesaDuhhh..
Nataka nifanye hivyo ila nahis nitaharibu ushahid
Naona kama vile mnataka kuleta ligi! Hebu na nyie mshaurini achaneni na ushauri waangu, maana naona umegeuzwa kuwa topicUkipoteza zaidi pesa uje utupe mrejesho hapa, maana unaenda kupigwa.
Update..Ushahidi wa wapi? Polisi? Sitakaa nipeleke kesi Police, yaani wewe ndio umepata majanga lakini ukifika wanataka uwape pesa
Ha ha ha!Bora utumie njia nyingine.Maana polisi wanakutafutia vitu vyako vilivyoibiwa wakivipata wanaviiba tena,kisha wanavitafuta tena na kuvipata kisha wanaviiba kwa mara ya pili mlolongo ni huo huo tu.