Talaka ni ruhusa au amri ya mahakama ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzi wake. Mahakama ndio chombo pekee chenye
mamlaka ya kutoa talaka.
Pole sana mkuu
[emoji51][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1783]We ni mWanaume kumbe..!? Pumbavu kweli
Young Lady stay strong.Nahisi nitadondoka muda wowote
Namuwazia tu mwanangu ndo maana napata nguv ya kuamka asubuh
Thank You.Ondoka haraka talaka ukaitafufie huku umeshatoka kwake. Marehemu Mercy Mkandala inasemekana kuanza process za talaka akiwa ndani na mbaya wake. Ameishia kuuawa
Aiseerrr....Thank You.
Ukisikiliza You Tube videos kuhusiana na hili tukio utaumia Sana.
No man is worth dying for.
Wewe ndio umeandika pumba maana umekurupuka kukomenti hujui hata kwa nini anataka kuvunja ndoa....hebu soma nyuzi zake kwenye I'd zake zote mbili kisha mpe ushauri unaomfaaHivi mbona watu mmekimbilia kumshauri huyu mwanamke aondoke kwake haraka as if kasema jamaa anataka kumuua??? Yani yeye hajasema tatizo ni nini mpaka afike hapo lakini mshamshauri afunje ndoaa... Ukute yeye ndo kimdomo domo na dharauu sasa badala kumwambia ajirekebishee mnakaa kushauri pumba tu hapaa.
Nasisitiza, wewe unaweza kufa kwaajili ya binadamu mwenzako?Aiseerrr....
No Man Is Worth Dying For!?
Dammnn!!!!??
For My Loved One..
Sasa amekosea kwani kila mtu hapa jf anajua nyuzi zake???? Yeye alitakiwa aweze link ya mkasa mzima kwenye story inapoanza ili tujue tunaanzia wapi sio kila mtu kaona nyuzi zake za mwanzo...Wewe ndio umeandika pumba maana umekurupuka kukomenti hujui hata kwa nini anataka kuvunja ndoa....hebu soma nyuzi zake kwenye I'd zake zote mbili kisha mpe ushauri unaomfaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakosea chochote maana hapa hajaja kuomba ushauri amekuja kuuliza process ya talaka... kwani ili umpe process za talaka ni lazima uijue stori yake?? Wanaojua stori yake ndio wamekuja na ushauri we unakurupuka kuwaatack. Sio lazima wawe wamefungua nyuzi za nyuma wengine tunakumbuka tu kwa mfano mimi nilikuwa nakumbuka mikasa yake hata alipokuja na huu uzi sijashangaa nikajua ndio yaleyaleSasa amekosea kwani kila mtu hapa jf anajua nyuzi zake???? Yeye alitakiwa aweze link ya mkasa mzima kwenye story inapoanza ili tujue tunaanzia wapi sio kila mtu kaona nyuzi zake za mwanzo...
So wewe mtu akija kukwambia umpe process ya talaka utaanza tu kumwambia bila kujua tatzo????? Bhasi tuna akli tofauti sana mzee....Hajakosea chochote maana hapa hajaja kuomba ushauri amekuja kuuliza process ya talaka... kwani ili umpe process za talaka ni lazima uijue stori yake?? Wanaojua stori yake ndio wamekuja na ushauri we unakurupuka kuwaatack. Sio lazima wawe wamefungua nyuzi za nyuma wengine tunakumbuka tu kwa mfano mimi nilikuwa nakumbuka mikasa yake hata alipokuja na huu uzi sijashangaa nikajua ndio yaleyale
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi nitadondoka muda wowote
Namuwazia tu mwanangu ndo maana napata nguv ya kuamka asubuh
Je wewe ni Kiranga?Unataka upewe talaka au utoe talaka,Talaka ni utaratibu mrefu sana ambao unaweza kukupa stress nyingine,Kama tatizo ni violence-Ondoka hapoupesi,Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon. Aliyewahi pitia hili suala naomba ushauri
Kwa nini nisimpe? Namwambia alichoniuliza mengine hayanihusuSo wewe mtu akija kukwambia umpe process ya talaka utaanza tu kumwambia bila kujua tatzo????? Bhasi tuna akli tofauti sana mzee....
Siku zote wanandoa hawasemi chanzo cha tatizo huwa wanasema matokeo.Japo mi sijaona kubwa la kukufanya uvunje ndoa.
Yaani umeshindwa kabisaa kukubaliana na wanavyoishi mumeo na nduguze? Umeshindwa kabisaa kufuata aina ya maisha yao?
Au Kuna mengine zaidi ya yale?
Talaka si nzuri sana kitu cha kukimbilia, watoto huteseka sana.
Hapo ukubali kutunza mtoto mwenyewe, usitegemee kupata matunzo toka kwa babake kirahisi.
Kama Kuna Mali mlichuma basi mtauza hii itawarudisha nyuma kimaendeleo.
Bhasi sawa mzee...!! Mimi siwezi kushauri jambo kubwa kama hilo bila kujua chanzo ni nini.
Wanawake wanaotoa Mchango wa mali au pesa kwenyw familia asilimia 98 hutawaliwa na dharau kubwa sana kwa waume zao na hapo ndo inakuwa balaaa..Siku zote wanandoa hawasemi chanzo cha tatizo huwa wanasema matokeo.
Wanawake hatujaumbwa kupenda Bali kuheshimu,Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Nayo ni mawazo yakoWanawake wanaotoa Mchango wa mali au pesa kwenyw familia asilimia 98 hutawaliwa na dharau kubwa sana kwa waume zao na hapo ndo inakuwa balaaa..
Ni mawazo tu lakini Huo ndio ukweli.. !! Hapa huyu mwanamkw atasema mabaya ya mumewe tuu.Nayo ni mawazo yako
Ila siri ya Mtungi aijuaye Kata.