Mkuu, watu wengi hukufa kwasababu ya uvumilivu uliopita kiasi. Wanasahau kwamba maisha yao ni yathamani sana na watesi wao sikumoja huwa wanaondoka na kubakia kuwa historiaMkuu umeandika point kubwa sana hapa. Huwezi kuishi huna amani kwa ajili ya kuvumilia jambo flani. Hakuna kitu muhimu kama kuishi ukiwa na peace of mind.
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Kiaje mkuu?Hivi mbona hankomi nyinyi.. Akina Kiria wana waharibu sana nyinyi.
Anyway. Kazi kwako.
Subiri kwanza.. Utasikia tu consequnces za hiki anachoenda kifanya.Kiaje mkuu?
Nakuelewa.Subiri kwanza.. Utasikia tu consequnces za hiki anachoenda kifanya.
Huoni kama ni jeuri tu fulani..anayetegemea mitandao kutatua matatizo ya ndoa yake.Nakuelewa.
Lakini vipi kama yupo kwenye ndoa inayotishia usalama wa afya na uhai wake? Anapaswa kuendelea kuvumilia?
Mleta mada kamata hii. Ni muhimu mno.Ondoka haraka talaka ukaitafufie huku umeshatoka kwake. Marehemu Mercy Mkandala inasemekana kuanza process za talaka akiwa ndani na mbaya wake. Ameishia kuuawa
Huoni kama ni jeuri tu fulani..anayetegemea mitandao kutatua matatizo ya ndoa yake.
Tizama anavyopewa jeuri na wachangiaji hapo juu. Akila panga tutakutana hapa kusema RIP RIP RIP.
Kumbe moto tumeuchochea sisi.
Wacha tuone.
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Pole sana kwa magumu unayopitia lakini kumbuka kuwa maisha yamejaa changamoto ambazo inahitaji maombi ili kushinda matatizo yanayo kukabili, Ndoa ni mtihani mgumu pale unapokuwa na mwenza mlevi, ugomvi, uzinzi na kupelekea mahusiano yenu ndani ya nyumba kulega.Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri