Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 12,096
- 22,468
Jesus..!!Take your kid and run..Divorce itafatia but now quickly pack your stuff and go. Waafrica kuna ile dhana eti kuvumiliana hakunaga hio kuvumiliana huwezi kuishi kwa maumivu na mtu anaekuumiza na kukukandamiza huyo sio wa kuishi nae maisha tumepewa zawadi na Mungu hakuna mwenye right ya kukuumiza mwishowe utapata madhara zaidi.
Pole dada!
Indeed..!Jesus..!!
Habari yake ikoje...!!!??Japo mi sijaona kubwa la kukufanya uvunje ndoa.
Yaani umeshindwa kabisaa kukubaliana na wanavyoishi mumeo na nduguze? Umeshindwa kabisaa kufuata aina ya maisha yao?
Au Kuna mengine zaidi ya yale?
Talaka si nzuri sana kitu cha kukimbilia, watoto huteseka sana.
Hapo ukubali kutunza mtoto mwenyewe, usitegemee kupata matunzo toka kwa babake kirahisi.
Kama Kuna Mali mlichuma basi mtauza hii itawarudisha nyuma kimaendeleo.
Kama kweli upo serious, basi huhitaji kusubili yote hayo, ondoka zako, ndoa itavunjika yenyewe automatically bila hata hayo ma process, vinginevyo unatuzuga tu.Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Kamwe usichukue ushauri wa jambo kubwa namna hii mtandaoni. Kwani huna watu wa karibu? Humu kuna watu wenye ndoa na wasio ndoa, wahuni, makahaba, watoto nk. Acha social media iwe social, wewe chukua hatua sahihiMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Duuh! pole dadaMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Take your kid and run..Divorce itafatia but now quickly pack your stuff and go. Waafrica kuna ile dhana eti kuvumiliana hakunaga hio kuvumiliana huwezi kuishi kwa maumivu na mtu anaekuumiza na kukukandamiza huyo sio wa kuishi nae maisha tumepewa zawadi na Mungu hakuna mwenye right ya kukuumiza mwishowe utapata madhara zaidi.
Pole dada!
Pole sana.Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Wewe mwenye ushauri wa kujenga mbona hujauandika?Huoni kama ni jeuri tu fulani..anayetegemea mitandao kutatua matatizo ya ndoa yake.
Tizama anavyopewa jeuri na wachangiaji hapo juu. Akila panga tutakutana hapa kusema RIP RIP RIP.
Kumbe moto tumeuchochea sisi.
Wacha tuone.