Nawashukuru kwa ushauri wa kutia moyo
Kuna baadhi ya maswali nitayjibu.
1.kwa nini nahitaji talaka kabla ya kuondoka
Kwa sababu sina chochote cha kuanzia pesa zangu zote nimewkeza hapa ikiwemo makato ya mwez
2.sio mambo mepes yanayoniondoa mengine siwez andika hapa ni ya aibu mnoo.
3.bado nampenda sana mume wangu na ndo fimbo yake kubwa kwangu.anajua nampenda na hili ndo linanifanya hili swala liwe gumu sana kwangu ila sina namna
Upumbavu nikujiua sababu ya mapenzi na utam wake ni wa masaa tu utaacha vingapi likiwepo hilo penzi ambalo unaeza kulipata sehem nyinginemnaweza msinione kabisa
Anampenda sana ukute ndugu ndo wanamchomoa hapoAibu ipi kubwa ya kusababisha talalaka!?
1. Kazaa nje ya ndoa!? Hili la kawaida.
2. Kazaa na mdogo wako au kambaka!? Hili labda.
3. Mlevi hadi anajikojolea na kujinyea mtaani au kitandani!? Hapana linarekebishika.
3. Hawajali ndugu,Wazazi wako!? Linarekebishika.
4. Hakujali,hana mda na wewe,Anakuona kama dada yake,hataki kufanya mapenzi na wewe!?? Labda hili.
5. Umemfumania mara nyingi na michepuko na habadiliki!? Hili pia gumu kuvumilika.
6. Anakubaka, anakuingilia kinyume na maumbile !? Hili pia zito..
7. Kafilisi miradi mliyoanzisha kwa kuwaonga malaya!? Hili pia gumu.
8. Hajali familia,hanunui chakula,havishi watoto,halipi ada!?
9. Ni mshirikina!? Mwizi!? Jambazi!?
10. Au ana KIBA MIA!!?
Aibu ipi,.. Em tueleze.
Hahaha.....kabisa mkuu carithaShoga angu aliwahi kunambia matatizo yake analia Lia kweli basi nikamshauri amua moyoni mwako kipi Bora kwake na ajifunze kufurahi bila ntu, kesho yake jamaa kakubembeleza acha anigeuzie kibao Mimi ni mubaya na sio huyo mwanaume, mafumbo ka yote eti hawaachani, nikasema langu jicho, Ila jamaa akaendeleza tabia mbovu Sasa hivi wameachana kabisa. Mwanamke haachani mtu mpaka ajeruiwe au auwawe aisee
We ni mWanaume kumbe..!? Pumbavu kweliUna mpendaje asiye kujali huyo kashakuharibu akili ndio maana huoni bila yeye you can't survive, kuwa makini jipe furaha mwenyewe kuwa busy na Mambo yako ukiendelea kujiliza gunia la mkaa linakuhusu.
Na Kama unampenda acha kuomba talaka vumilia mateso yake hafu wanaume hatukuumbiwa kupenda.
Yani wewe unavo mpenda kuliko yeye anaona kero ndo anadhidi kukuchukia zaidi,
Jaribu kukaa miezi kadhaa pekee yenu mjitafakari mnataka Nini hasa?
pole sana dada masai Mungu akutangulie katka kila jambo lakoMawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Wewe ni jinsia gani?Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
WAKATOLIKI WANA TALAKA ZAO,Talaka ni ruhusa au amri ya mahakama ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzi wake. Mahakama ndio chombo pekee chenye
mamlaka ya kutoa talaka.
Pole sana mkuu
Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Nenda baraza landoa kwaajili ya usuluhishi.Mawazo ushauri sababu nahisi nakufa soon.
Aliyewahi pitia hili swala naomba ushauri
Mkuu, mimi ni mkatoliki.WAKATOLIKI WANA TALAKA ZAO,
Acha basi kumkebehi, pole uliyompa naiona kama ni kebehi tu
Wewe basi ni kenge wahediWe ni mWanaume kumbe..!? Pumbavu kweli
Haya mambo bora uwe wa mwisho kushauriTatizo la mapenzi ndo hilo unakomaza mishipa kwa kum hurumia usiku akichezea goli kadhaa tu wewe ndo unakua adui
Umeongea point ambayo nilikuwa naitafuta, hata mimi huyu naona kabisa ni mwanamke ambae hajielewi na kwa kuzingatia misingi ya ndoa hakustahili kuepo kwenye ndoa.Story za upande mmoja huwa mara nyingi ni za kutafuta huruma!
Ninachojua ndoa ina mambo mengi na wanandoa wana mengi!
Hakuna mtakatifu ndio maana kuvumiliana ni nguzo muhimu ya ndoa!
Kuyaleta maisha yako binafsi kuja kuamuliwa mtandaoni kunaonyesha kuwa haukupaswa hata kuwa kwenye ndoa!
Think big, take control of your destiny!