Aliyewahi kufanya mchakato wa talaka msaada

[emoji2][emoji2]
Sijui kwa nini kila nikikuona nawaza ile story yako kwenye uzi wa kulana kimasihara.
wewe mwanamke sio kabisa
hahahaha
Acha tu, yupogo sijui aliisoma, nayo ni story
 
Uko na akili yako na viungo vyote vimekamilika, mwanaume anakufukuza eti ondoka. Naondoka, sitaolewa tena na nitachapa kazi hadi ajute kuniacha. You girls be smart bana.
 
Hivi mbona watu mmekimbilia kumshauri huyu mwanamke aondoke kwake haraka as if kasema jamaa anataka kumuua??? Yani yeye hajasema tatizo ni nini mpaka afike hapo lakini mshamshauri afunje ndoaa... Ukute yeye ndo kimdomo domo na dharauu sasa badala kumwambia ajirekebishee mnakaa kushauri pumba tu hapaa.
 
Fuatilia visa mkuu. Jamaa yake na fala. Nami namshauri atembee tu.
 
Sema mapenzi mapuuzi sana....kesho/kutwa atakuja hapa na mahug na makisses wameyamaliza...

Sasa sijui tutajikarantini au vipi!??
 
Anaondoka anaenda wapi? eleza sababu za kuvunja ndoa haya mambo bila kujua pande zote 2 ni tatizo.

Unajua watu wakishaingia ndani ya ndoa ndio tunajuana rangi zetu harithi,tukijenga na kupata watoto hapo hatari.

Kiburi,dharau,majegambo nk vyote huja....
 
Je level za familia kapita
? kuna mshenga kuna ndugu zake nk....haya mambo sio marahisi kama mnavyowaza msibase sana kwa mtoa mada mkaona anaonewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…