sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Kama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atume fasta kabla weekend haijaishaLeta mpunga
Huyu Lil Ommy ni nani?,nitokle tongo tongo mkuuKama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
View attachment 2049711
Duu mkuu usinisahau mkuu nakuombaLeta mpunga
Leta mpunga
Leta mpunga
Akupe milioni 1 yako
Mkuu njoo umlipe mtu milioni yakeKama kuna yoyote aliyewahi kumuona Lil Ommy akiwa na nguo ya mikono mifupi. Anicheki nna zawadi yake ya sh million moja.
View attachment 2049711