MAGAMBA MATATU
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 646
- 1,199
Ndugu qwenzangu wa Jamvini, naomba wale wote waliowahi pata kazi kupitia kuziona humu Jamvini wadhibitishe kwa maneno yao na ni wapi huko ili watu tusiwe tunasumbuka kusambaza CV zetu bila mafanikio.
Kaka JF sio recruitment agency. Kama umeiona kazi humu ujue ipo pia kwenye sources zingine. Kama hujapata nenda tu kwa mganga lkn kazi zinazoandikwa humu hazimaanishi mwajiri ni JF
Ndugu qwenzangu wa Jamvini, naomba wale wote waliowahi pata kazi kupitia kuziona humu Jamvini wadhibitishe kwa maneno yao na ni wapi huko ili watu tusiwe tunasumbuka kusambaza CV zetu bila mafanikio.
Mkuu , mie nishafanyiwa interview kwa kazi kama tatu nilizoziona huku JF na pia kuajiriwa na international org. kwenye post niliyoiona humu ndani.JF is real unless proven otherwise. Good luck ila usisahau kusali maana JF peke yake haiwezi kukupatia kazi ndugu.:amen:Kaka JF sio recruitment agency. Kama umeiona kazi humu ujue ipo pia kwenye sources zingine. Kama hujapata nenda tu kwa mganga lkn kazi zinazoandikwa humu hazimaanishi mwajiri ni JF