Mtayarishaji
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 291
- 198
Watu baado hatujaona dira,Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili.
Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa. Hii sio kwamba itanisaidia mimi tu bali na yule mwenye nia ya kutafuta mwenza kupitia Love Connect.
Mapovu yanaruhusiwa.
NaWaSiLiSha.
HahahahahWanaweka mashart magum sana utakuta vigezo vinavyotakiwa ni kua mwanaume awe na miaka 50 hadi 60 awe hana mtoto awe hajawahi kuoa,sasa hapo mtu mpaka afishe miaka hiyo hajaoa si atakua amelaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweka mashart magum sana utakuta vigezo vinavyotakiwa ni kua mwanaume awe na miaka 50 hadi 60 awe hana mtoto awe hajawahi kuoa,sasa hapo mtu mpaka afishe miaka hiyo hajaoa si atakua amelaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweka mashart magum sana utakuta vigezo vinavyotakiwa ni kua mwanaume awe na miaka 50 hadi 60 awe hana mtoto awe hajawahi kuoa,sasa hapo mtu mpaka afishe miaka hiyo hajaoa si atakua amelaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanataka pensheniWanaweka mashart magum sana utakuta vigezo vinavyotakiwa ni kua mwanaume awe na miaka 50 hadi 60 awe hana mtoto awe hajawahi kuoa,sasa hapo mtu mpaka afishe miaka hiyo hajaoa si atakua amelaaniwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanakuwa washapat hitaji laoUnahisi sababu inaweza kuwa ni nini mkuu.