Kuna " promosheni" ya shinda PASSO na CRDB ukitumia SIMBANKING. Hivi kuna aliyewahi kushinda hii promosheni tangu ianze ? Kulikua na haja ya kuudanganya umma wa watanzania kwamba unaweka promosheni halafu gari huzawadii hata mtu mmoja....
Ukiwa unaanzisha thread fanya utafiti wa kutosha.
Sentensi yako ingeishia kwenye swali tu au ingebaki kama ulivyoanza na sio kuweka hilo hitimisho kuonyesha kwamba una uhakika hakuna aliyewahi kushinda.
Mimi nimeshaona mshindi akikabidhiwa na pia kuna mshindi ambaye namjua mpaka jina yupo Morogoro naye pia ameshinda.