Aliyewahi kutumia portable AC naomba ushauri

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Kwa aliyewahi kutumia au Mwenye Ufahamu nazo nataka kununua ya hisense btu 12000

Kwa chumba kimoja

Jf ina watu wengi wanaojua nisanueni changamoto zake na uzuri wake pia.

IMG_6298.jpg
 
Nadhani portable ac ni bomba hasa Kwa vyumba vidogo vyenye square meter za kawaida Yani zenye kutosheleza hiyo ac, room yenye square meter za kutosha hutakula upepo vizuri, sema ni nzuri Kwa maana portability unakibeba tu na kukiingiza room sishauri iwe ndo ac ya nyumba nzima maana hutoboi unaimaliza na kuiua chumba kimoja kama ulivyosema inatosha, hata hivyo ni less expensive ukilinganisha na hizi za kawaida (split zile), ninachoona hapo kitakula sana umeme tofauti na hizi split Zina afadhali lakini kama mshiko siyo ishu aaaah kawaida tu, halafu naona zile indoor na outdoor unit zipo pamoja so naona kelele zitakuwepo labda kama teknolojia imekua, maana ac zile split outdoor Iko nje so kelele huisikii ukiwa ndani huku umefunga dirisha.

Naona pia hata maintenance yake haitakuwa ghali kama za kawaida maana za kawaida mafundi wa kibongo akianza kuchangua ya ndani anagusa sehemu nyingi hivyo cost inakuwa kubwa maana atatoa filter zile, funiko lile, feni kama chafu sana anaweza lipiga Hadi pressure la ndani lote aende nje tena asugue condenser, mara kakupiga hela ya capacitor anasingizia imeungua Yani anavyozidi kufanya kazi masaa mengi ndivyo chaji inakuwa kubwa tofauti na portable ac maintanance yake si kama ya hizi split.

Tatizo naona may be ni inakula sana power, kelele coz indoor na outdoor naona ziko sehemu moja labda teknolojia imeboreshwa, pia square feet za chumba ni jambo la kuzingatia sana kama ni btu 12000 kama sijasahau ni kama square feet 500 hivi au 450, (450-500 sq), unaweza kuconvert hiyo Kwa square meter au kama unaijua SF(square feet) ya chumba itakuwa fresh maana unaweza kuwa na btu hizo halafu bonge la chumba lenye SF kibao itakuwa hamna kitu.

Hivyo ndo nijuavyo kidogo tu kuhusu hiyo ishu.
 
Ok
 
Kwa ujumla haziko "efficient" kama split au za dirishani ila zinaweza kusaidia kama chumba kinalingana na size yake, hasa tafuta zenye "dual hose" lile bomba la kutolea linakua limegawanyika katika sehemu mbili. Pia hakikisha unafunga vizuri na unapunguza leaks kwa kiasi kukubwa.
1703338524521.jpeg
 
Kwa aliyewahi kutumia au Mwenye Ufahamu nazo nataka kununua ya hisense btu 12000

Kwa chumba kimoja

Jf ina watu wengi wanaojua nisanueni changamoto zake na uzuri wake pia.

View attachment 2850131
Hizi sikushauri ununue, nilifanya maamuzi yq kununuq mwaka 2020 ila najutia mpka leo, nilijua kinatoa ubaridi kama ule wa AC lakini ni upepo tu ambao nao hautokinkwa kasi kama ule wa feni ya elfu 70. Japo kuwa ilikua na sehemu ya kuweka maji na barafu lakini hakuna maajabu, sahv lipo tu ndani
 
kwa maelezo haya ulinunua air cooler aka feni iliyochangamka
mtoa mada anaongelea portable air conditioner ambayo pia kimsingi ni takataka

Raha ya AC, weka ile Split Type
Ongeza ujuzi hapa hivi na matumizi ya umeme yakoje
 
Back
Top Bottom