Aliyewahi kuutesa moyo wangu ananitaka

Inabidi utaanza kumgombania mjamaa? au Utamfanya nini B? grabbed her hair...and screaming stuff like “? leave my husband, you daughter of @#@#$#!$#V... hahaha yeye (husband) atakuwa very entertained....
 
Inabidi utaanza kumgombania mjamaa? au Utamfanya nini B? grabbed her hair...and screaming stuff like "? leave my husband, you daughter of @#@#$#!$#V... hahaha yeye (husband) atakuwa very entertained....

hahaaaaaaaaaaaaa best umenichekesha asubuhi mapema leo.

sio kiivo bana, ujue bana mimi huwa na-imagination zangu mwenyewe when it comes to'my husband' hapo ndipo huwa naambiwa its only because am still out of that 'box'

wala sitapaparika kam unavofikiri..........kimya kimya tu!
 
kwanza kwa statement yako tu...maana icho kijisababu eti "ningekuwa sijaoa ningemkubalia mara moja"
unayeyusha tu
 
Ivi kwana ataanzaje kukufata nyumbani...hahha

yaani cjui wanakuwa wamedanganywa nini na huyo mwanaume mpaka kufikia hapo, ilishamtokea rafiki yangu, mumewe alikuwa anaumwa hawara kaenda mpaka home kumsalimia, balaa aliloondoka nalo hapo hakulitegemea coz milango yote ilifungwa, mama na watoto walimpa za kutosha...baba alikuwa amepata ajali so ni wa kulala tu(alijionea movie)
 
nakuonea mpaka na huruma.
 
hha i thought u will turn her into bald...kumbe utadeal nae ki Gandhi au ki Mandela....? ahh mie asije jaribu kusogea kwenye territory yangu bana, both of them will pay the price...haki tena....
 
hha i thought u will turn her into bald...kumbe utadeal nae ki Gandhi au ki Mandela....? ahh mie asije jaribu kusogea kwenye territory yangu bana, both of them will pay the price...haki tena....

you got it right gurlie!!!!

wote wawili wana kesi ya kujibu hapo.
 
safi kabisa!!! hahhaha kwahiyo baba alikuwa kalala gladly watching the movie:A S shade: kweli hii ni exhausting game haki tena...........
 
Oh friend Some times in life you will find You need to release even the things you love most to make life continues smoothly." Let bygones be bygones". Una jipya lipi ambalo linafanya yeye sasa akufagilies! Achana nae huyo ni shetani tu anataka kuvuruga mipango yako mizuri na mkeo. Respect your wife, she is already part of you and not anybody else on this earth.
 
safi kabisa!!! hahhaha kwahiyo baba alikuwa kalala gladly watching the movie:A S shade: kweli hii ni exhausting game haki tena...........

walimcharaza vibaya kabisa, baba hakuamini mpaka alilia machozi akiomba mkewe amsamehe kwa yaliyotokea, yani kuna vitu ambavyo unaweza kumshangaa human being kabisa...sasa cjui angevunjwa kiuno angesemaje, mie ningejimtia alama anikumbeke milele.
 
alaaaa!! mume mtamu dearest huh!!! si unaona mi ndo mana nasema 'cheza na mimi' usicheze na 'mume wangu'............tena dharau zilizopitiliza kama hizo ........I would be too nice to her nimwache tu aende na kovu tu.
 
Kama mumeo ndo anacheza na yeye hapo inakuaje?
 
haha kwenye blue kweli kabisa unaweza kuwa kama a stray dog!.... in bold hhahha nimecheka mpaka basi ...nukuaminia Dear...hakuna masikhara kwenye maisha bana...utakuta umepata tabu kufanya maisha na huyo baba halafu anakuja mtu atoke alipo aje kukuharibia.....
 
alaaaa!! mume mtamu dearest huh!!! si unaona mi ndo mana nasema 'cheza na mimi' usicheze na 'mume wangu'............tena dharau zilizopitiliza kama hizo ........I would be too nice to her nimwache tu aende na kovu tu.

lol...welcome to my world.
 
ndio hapo dearest....inakera sana, hata huo usumbufu wa cjui vi calls vi sms wenyewe unasumbua ndio ijekuwa anaetaka kukwapua kabisa?...
 
Kama mumeo ndo anacheza na yeye hapo inakuaje?

ana kesi ya kujibu na yeye......

ila mimi kwa kweli ntalia sana na mwanamke anayejua kabisa huyu ni mume wa mtu na bado anakosa heshima kiasi hicho. wengine huwa wandanganywa 'sijaoa'........huyo anagalau ana cha kujitetea. shemeji yangu aliwahi kumdanganya binti hajaoa, sisy alipogundua mumewe ana cheat alimpigia yule binti na binti akajieleza na that was it.....
 
ohoooo.....mkuu balozi kumbe bado uzoefu....ukiupata utakuja kutuambia hapa....
 
kaa utafakari kuna mawili huenda amekiri makosa yake moyoni au ana nia mbaya na wewe sasa akili kumkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…