TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Aloyce Kimaro amefariki dunia

R.I.P Mungu azidi kutupambania...Maana ni kwa rehema zake tu tunaweza survive hili
 
Chanzo cha kifo alafu now dyz Jf habari zinachelewa niliona hii habari fb nikaipuuza maana ilitoka kwenye chazo sio cha kuaminika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…