TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Vunjo mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Aloyce Kimaro amefariki dunia

RIP......what is the cause of death...
If you’re a close family member or friend you would by now have known the cause. After all why do you want to know? How would you feel if it were your close kin?
 
Ameacha kiwanda cha gongo pale njiapanda ya himo
 
Naomba wanipe jukumu la kuichimba kaburi yake ili niifikishe 12 feet down the ground

Mzee baba kwa comments kama hizi ilikuwa muhimu uka reverse course. Kwa nini jiwe na watu wenye kukuombea dua mbaya hivi? Kumbuka umekuwa ukiwaomba watanzania wakuombee na baadhi ya sala ni kama hivi tena.

Kwa hakika haujawahi kuwa hivi kwa kiongozi yeyote au awamu yoyote katika historia ya taifa hili.

Ilikuwa vyema mzee baba ukajitathimni na kuchukua hatua.

Kagame, Museveni, Kenyatta na hata Nkurunziza wamechukua hatua zaidi ya hizi za kunawa nawa ili kuzuia mizunguko na mikusanyiko ya watu.

Nadhani mzee baba tatizo liko hapo kwenye kusikiliza naoni ya watu tu. Bila shaka ukirekebisha tu hilo, rais wa wanyonge kipenzi cha wengi utarejea kwenye ubora wako.
 
Nadhani ni vizuri huu ushauri ukaupeleka kwa hao viongozi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…