Thidanganyiki
Member
- Mar 25, 2015
- 47
- 59
Mungu amsamehe alipojikwaa, apumzike Kwa Amani. Alitoa kopaji chake kuwa burudani kwetu.Apumzike kwa amani
Naona jezi yake kama ina nembo ya NBCAliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma.
Mazishi yatafanyika leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
Mazishi ni kesho saa 10 AlasiriAliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma.
Mazishi yatafanyika leo nyumbani kwao Ujiji Kigoma.
RIP Yahya Akilimali
Toka maktaba :
Azam Sports AM walipomhoji mchezaji wa zamani Yahya Akilimali
JINA: AKILIMALI YAHYA AKILIMALI KUZALIWA: DESEMBA 5, 1986 NAFASI: WINGA TIMU ALIZOCHEZEA:
- 2003-2008: SIMBA SC
- 2009-2010: MTIBWA SUGAR
- 2011-2012: JKT RUVU STARS
- 2012: COASTAL UNION
- TAIFA STARS: 2004-2005