Ukisikia mloganzila jiongeze mkuu, matatizo ya upuaji ni mengi saiv.Chanzo cha kifo?
Ooh sawaUkisikia mloganzila jiongeze mkuu, matatizo ya upuaji ni mengi saiv.
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mambo hayasemwi siku hiziChanzo cha kifo?
Sio ni Changamoto ya upumuaji.Mbona TANZIA nyingi siku hizi!? Sio janga la kujifukiza kweli?
***Mbire mwene Nyamwonyo***
Watu wanakufa kwa wingi mloganzila wanazika kila siku watu kubao sijui ni kwa nini CCM wameamua kuficha taarifa hizi?Duh...!.
RIP Mhando
P