TANZIA Aliyewahi kuwa Mhasibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Shaban Mhando afariki dunia Hospitali ya Mloganzila

Hapana mkuu, labda tumia lugha nyingine, Dunia haiwezi kuokoa mwenye kuokoa ni Mungu, Ispokuwa Dunia itatoa misaada na misaada hiyo si ya kuzuia Mapenzi ya Mungu
 
Mungu tuondolee hili janga liitwalo ccm limetutawala bila kupenda kwa mda mlefu sana ameeen
 
Hivi vifo vitamfanya magufuli asirudi tena DAR maaa kama watendaji wake wanakufa kila siku na corona ni ngumu Sana kurudi....
Mkuu wa mkoa WA Kilimanjaro yupo karantini na amejitangaza hii itamfanya azidi kuwa mpole
 
Hivi, kila anayekufa ni kwa Corona? Kwani tukisubiri tukaambiwa chanzo cha kifo chake tutapungukiwa nini? Sio kila kifo kisababishi ni Corona jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…