TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

siwezi kujisahau kwani natabua hilo ila walevi wa madaraka hujisahau

Inawezekana kuwa uko sahihi kuwa kuna walevi wa madaraka...lakinipia kumbuka wako walevi wa uchochezi, dharau, udhalilishaji, kutumika na kulalamika kwa kila kitu
 
Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake yeye ndio marejeo yetu...nimesikitishwa sana na kifo chake,,, alikuwa ni mtu very smart. Tunamuombea Mwenyezi Mungu amfutie makosa yake yote na amuingize mahala pema peponi.
 
Alazwe mahala pema peponi
 
Inawezekana kuwa uko sahihi kuwa kuna walevi wa madaraka...lakinipia kumbuka wako walevi wa uchochezi, dharau, udhalilishaji, kutumika na kulalamika kwa kila kitu
Ukisikia mtu anaongelea uchochezi jua ni kati ya wale walioishiwa hoja
 
mimi kaka yako tena naweza kukuoa kabisa

uwe na heshima

Jibu swali, umezaliwa 2000 na ngapi? Kandoro si juzi kati alikuwa mkuu wa mkoa wa Dar kama ulikuwa mtoto ebu toa shkamoo kwa wakubwa zako
 
Sio kwamba anasifiwa kwasababu amefariki hapana huyu mzee alikua na busara sana RIP kandoro
 
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.
Hakuna wa kukibeza kifo, ndo adui wa mwisho kwa kila binadamu.
Huyu marehemu Abbas Kandoro kwa tuliomfahamu alikuwa mtu mwema, na kumbukumbu hiyo inaishi hata baada ya kifo

Akiba ya maneno huwekewa wale waliojitambua sio nyie wabembeleza vyeo; Magufuli kawakalia kooni wanaume wazima mnashindwa kumwambia ukweli!! Kifo ni adui kwa nyinyi mnaojisahau lakini kwa sisi wengine kifo ni faradhi!!! Umeelewa?
 
Inategemea umaarufu wa nini hata Idi Amini alikuwa maarufu,

umaarufu wa Kandoro ulitokana na utendaji kazi wake uliotukuka tofauti na Bashite unaotokana na ukatili wake.
Na si ukatili tu jumlisha na ulimbukeni na showoff za kumwaga
Kandoro pamoja na kuwa RC lakini alikuwa mtu mwenye roho nzuri. Aliwaongoza watu bila ya kuwanyanyasa kutokana na ufuasi wao wa vyama vya siasa, tofauti na wakuu wengine wengi wa mikoa.

Mungu mwenye huruma amjalie pumziko jema.
Alikuwa mkali sana lakini mwingi wa hekima na busara, mchapa kazi kweli kweli, aliwaamini sana wasaidizi wake huku akimwachia kila mtu kutekeleza majukumu yake, aliijua vyema sana teamwork na ilimsaidia. Pia hakuweka siasa sana kwenye kazi. Awamu hii mambo yamebadilika sana na wasaidizi wote wanaucheza muziki wa mkulu.
 
Hapo wanaccm tunavizia rambirambi wanafamilia wakizembe tu mimi na ndugu yangu gambo tutapotea nazo kama upepo
 
Akiba ya maneno huwekewa wale waliojitambua sio nyie wabembeleza vyeo; Magufuli kawakalia kooni wanaume wazima mnashindwa kumwambia ukweli!! Kifo ni adui kwa nyinyi mnaojisahau lakini kwa sisi wengine kifo ni faradhi!!! Umeelewa?
Wewe ndobhuwezi elewa kitu.
Ungejua nina pesa kuliko mkoloni ungeshangaa.
Tatizobmwafikiri humu mtandsoni wote watoto kama wewe.
Sibembelezi mtu kimaisha.
Lakini zaidi ya yote nakuomba ufe tukulilie vizuri.
Kabla ya yote nikutakie in advance RIP.
 
Ungejua nina pesa kuliko mkoloni ungeshangaa

Wewe umeajiriwa na Magufuli hizo pesa utazipata wapi? Kama unazo wewe lazima ni mwizi, na siku si nyingi utakufa kwa stress na utarudishwa kwenu ziwani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…