masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Wizi uliohalalishwa unaitwa biashara.Wewe umeajiriwa na Magufuli hizo pesa utazipata wapi? Kama unazo wewe lazima ni mwizi, na siku si nyingi utakufa kwa stress na utarudishwa kwenu ziwani!!
Wewe hata biashara huijui, kazi yenu kungojea tender za serikali ndio mfanye overinvoicing na wafanyabiashara wezi wenzenu halafu unajidai wewe mfanyabiashara!!! Ngoja Magufuli akufukuze kazi ndio utajua.Wizi uliohalalishwa unaitwa biashara
Wadi wasi wako nini mkuu, mimi mkono unenda kinywani bila tatizo.Wewe hata biashara huijui, kazi yenu kungojea tender za serikali ndio mfanye overinvoicing na wafanyabiashara wezi wenzenu halafu unajidai wewe mfanyabiashara!!! Ngoja Magufuli akufukuze kazi ndio utajua.
Hayo maneno umeyapatia kweliJamaniii,..innalillah wainna illah rajiun..
Asalaam alaykhum luq[emoji4]Hayo maneno umeyapatia kweli
waaleykha, nakutafutaAsalaam alaykhum luq[emoji4]
Nipoowaaleykha, nakutafuta
Ni vizuri kusikia hivyoNipoo
InshaAllah,..Ni vizuri kusikia hivyo
Kaacha jina kubwa sana.Jamani RC wetu aliyefanya mpaka maji ya vipacket kuitwa Kandoro
Mkuu nakusalimuInshaAllah,..
Salama mkuu,.kwemaa?!Mkuu nakusalimu
Kwema kabisa mkuu,nimekumiss hatari.Salama mkuu,.kwemaa?!
Nipo mkuu,.naona tunapishana tuuKwema kabisa mkuu,nimekumiss hatari.
Ukisikia mtu anaongelea uchochezi jua ni kati ya wale walioishiwa hoja
Huu usemi unawahusu waliomkubali Yesu kama Mwokozi na Bwana wa maisha yao, na si kila mtu kutoka katika imani yoyote.Kufa ni faida kuishi ni kristo
Mimi sijaingia humu kitambo aisee.Nipo mkuu,.naona tunapishana tuu
Ooh,pole mkuu...huku kwema kabisaa,karibu tena bwana..Mimi sijaingia humu kitambo aisee.
Ila mambo yanaendaje lakini pande zenu huko?