TANZIA Aliyewahi kuwa Waziri na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL, Omary Nundu amefariki dunia

Tunaoamini katika ufufuko halisi.. Tunaamini kuna siku atafufuka na kujumuika na wafu wengine waliofufuka katika Kristo... Rip [emoji1019] brother.. Until we meet again [emoji123][emoji109]
 
Hapana hajawai kua mkuu wa mkoa. Amefanya kazi nchini miaka ya zamani baadae akaenda nje mpaka 2010 aliporudi na kugombea ubunge tanga mjini baadae akawa waziri wa uchukuzi na alipoondolewa alibaki kua mbunge mpaka 2015 aliposhindwa uchaguzi mkuu. Wakat wa awamu ya tano aliteuliwa kua mwenyekiti wa bodi ya TTCL baadae akateuliwa tena kua mwenyekiti wa bodi ya Aitel.
Aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa tanga miaka ya 2010
 
Wote ni wa MwenyeziMungu, na kwake Marejeo..!
 
Huyu ndie aliyetudanganya na kutuaaminisha kuwa Airtel ni mali ya Serikali kumbe muongo mkubwa. Walikuja wahindi wenye kampuni yao, sijui porojo zake ziliishia wapi?
Kweli mawazo ya kuwa AIRTEL ni mali ya Serikali na toka 2017 ameshindwa kuprove hivyo yanaweza kuwa yalimletea sonona (depression). RIP Nundu
 
Inna lillah wainna ilaih rajiun. Allaah akupe kauli thabit babu yetu, na akufanyie kaburi lako kuwa bustani miongoni mwa bustani za peponi.
 
Apumzike kwa amani Mzee wetu Omary ibn Nundu. Namkumbuka wakati akiwa Waziri wa Uchukuzi na jinsi alivyopambana na Naibu Waziri wake Eng. Mfutakamba baada ya kuwa Naibu Waziri anamzunguka mkuu wake. Mzee alitoka hadharani na kukemea; alithubutu
 
Inawezekana kweli kulikuwa upigaji hela za matibabu ya nje lakini si vizuri kusema Watanzania wote watatibiwa hapa hapa. Hili wimbi la viongozi au wake wa viongozi kufariki mikononi mwa madaktari wetu limekuwa kubwa.

Hivi kweli huyu Dr Harrison Mwakyembe na Prof Mwandosya wangekuwa wameugua kipindi hiki cha Meko wangepona na kurejea kwwnye afya walizonazo leo kwa huduma za MNH? Last month mke wa AG Killangi alikufa pia.

Ikibidi kiongozi aende nje kwa matibabu nashauri aende tu, ila kama kuna mtu anataka kupiga hela, adhibitiwe mbona mifumo ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…