Aliyewaita AZAM FC inzi wa chooni hakuna udhalilishaji wowote aliofanya.

Aliyewaita AZAM FC inzi wa chooni hakuna udhalilishaji wowote aliofanya.

Mister mimi

Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
89
Reaction score
106
ila aliyesema kuna kikao baina ya makolo na waamuzi amefanya udhalilishaji mkubwa usioonyeka wala kuvumilika wala kuchukuliwa kama utani!

By the way,nimefurahi kuona Ahmed ally yuko huru maana mpira ni mchezo,na michezo ni ushindani tu wa kuitafuta Furaha na sio UADUI!

ukweli ni kwamba kijana hajatendewa haki! Hata kama amekosea adhabu haijaendana na kosa kabisa!
 
Hapo Azam alalamike kosa alilolifanya anayedaiwa kufungiwa ni dhidi ya TFF
 
Unajisumbua bure kwa hao WAHUNI WA TFF.

Ufahamu kwamba TFF ni GENGE LA WAHUNI lililojificha kwenye UONGOZI WA SOKA?
 
Hapo Azam alalamike kosa alilolifanya anayedaiwa kufungiwa ni dhidi ya TFF
Nakuelewa,japo TFF ni baba wa wote,sio kila kosa ni mpaka apelekewe mashtaka ndio ahukumu,ana mamlaka ya kurekebisha dosari yoyote anayoina ili kuulinda mchezo.kwa kutoa maonyo, kutoa elimu n.k

shida naiona kwenye kiwango cha adhabu aliyopewa kijana ,hata kama amekutwa na hatia,adhabu ni kubwa kuliko kosa, kufungiwa miaka miwili kwa aina ya kosa alilotuhumiwa mzani haubalansi kabisa!

Ni sawa na mzurulaji kuhukumiwa miaka kadhaa jela,wakati angeweza kutoa faini,au jela miezi mitatu!
 
Sasa nime elewa kwanini Mwenyekiti wa Simba katika mkutano mkuu wa Tff Mangungu aliwaomba wajumbe wa mpitishe Wallec Karia kuwa mgombea pekee wa kiti cha urais wa Tff yaani apite bila kupingwa uku akijua kufanyika kwa tendo ilo ni uvunjifu wa katiba.

Sasa nime elewa kwanini adhabu za wasemaji kufungiwa zimekua ziki waathiri yanga uku Simba zikiwa aziwahusu.
Antony Nugaz, Bumbuli, Haji Manara na sasa Ally Kamwe.

Sasa nime elewa kwanini Marefa wana kiburi cha kuharibu mechi na awachukuliwi hatua na pindi wadau wakieleza mapungufu ya waamuzi wanapewa adhabu.
 
Back
Top Bottom