Mister mimi
Member
- Apr 29, 2018
- 89
- 106
Nakuelewa,japo TFF ni baba wa wote,sio kila kosa ni mpaka apelekewe mashtaka ndio ahukumu,ana mamlaka ya kurekebisha dosari yoyote anayoina ili kuulinda mchezo.kwa kutoa maonyo, kutoa elimu n.kHapo Azam alalamike kosa alilolifanya anayedaiwa kufungiwa ni dhidi ya TFF