Aliyewasaidia Wafanyakazi wa TRA walioshambuliwa Tegeta na mmoja kufariki akabidhiwa Tuzo maalumu Pamoja na tsh million 5 na Rais Samia!

Aliyewasaidia Wafanyakazi wa TRA walioshambuliwa Tegeta na mmoja kufariki akabidhiwa Tuzo maalumu Pamoja na tsh million 5 na Rais Samia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni katika sherehe za kuwakabidhi Tuzo Walipa Kodi Bora nchini

Mlipa Kodi maarufu zaidi nchini ni S S Bakhresa

Mlipa Kodi mkubwa ni NMB

Na huyo Kijana Shujaa wa Tegeta

Tukio liko mubashara Channel ten

Ahsanteni sana 😄
 
Back
Top Bottom