Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Fursa vitambaa vilivyobakia baada ya ugoko wameuza bei mbaya sana!
 
Utamaduni wa mwafrika ushakufa siku nyingi sana alipoingia mwarabu na mzungu . Hapo ulipo sidhani kama unatumia majina yako ya asili ya kabila lako. Hata mwanao sidhani kama utakuja kumuita Mwakaleli, Mwamvua, Maneno n.k. Hapo nyumbani kwako unatumia chungu na mtungi? Mpira ngozi nao ni utamaduni wetu? Nafikiri wangetumia mpira wa daso kwenye kombe la Afrika.
Najua hautanilewa lakini ukweli ndiyo huo.
 
Hapo wangeenda kwa wahadzabe kama wanaangalia ile channel ya safari, wawatengenezee mavazi ya ngozi halafu kofia wakatengenezewe na wamasai zile zinazofanana na kichwa cha simba pamoja na shanga za kutosha huku wakiwa na fimbo zilizozungushiwa shanga zenye bendera ya Tanzania hapo ndio wangeshtua dunia sasa wanaendaendaje hivyo?
 
suti zipo fresh sema ushamba wa wanaume wa dar wanapenda kujaza matakataka mifukoni, hapo ukute mfukoni kuna hindi la kuchoma, vishet, pakti za karanga n.k ndio mana unakuta haziwakai vizuri
 
And what did you just say bitch?! I shoudn't quote you, anh?! Then here I am, again and again you little cunt! You forced to have war with me, and I'm war you mother'fvck piece of shit with a swollen big smelling fast as's! And if you really want a war, let your PM open douchebag!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…