Haya mambo peleka fb pumbavu kabisaKwani Wachezaji wenyewe wanasemaje
Hapa busara imepitiliza. Umelipa kiingilio, umeacha kazi, umeingia uwanjani kusubiri muda wa tukio, halafu anatokea kiongozi anasema tukio limeahirishwa. Kuvumilia si busara, bali ni ujinga.Yeye kama amiri jeshi na kiongozi wa nchi awezi kukwepa lawama, hapo ndio lazima tumkumbuke hayati angeweka sawa viongozi wa timu zote halafu ange deal walioaribu wote kuanzia wizarani hadi TFF.
Tunachukulia poa kwasababu watanzania ni watu wenye busara ingekuwa nchi nyingine kiwanjani pale pangechimbika na uharibufu mkubwa na fujo zingetokea.
Unafikiri mama angewapigia viongozi wa timu zote kurudisha timu uwanjani wangegomea?
Kna mtu kaja kwa mguu kutoka kigomaWatanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Mkuu usiseme "tunapitia" sema "ninapitia".Watanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Ona hii kimaWatanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Kweli kabisa mkuu.Hapa busara imepitiliza. Umelipa kiingilio, umeacha kazi, umeingia uwanjani kusubiri muda wa tukio, halafu anatokea kiongozi anasema tukio limeahirishwa. Kuvumilia si busara, bali ni ujinga.
Naona mnapepesa macho tu, mmempa wenyewe kichwa.
Anawazoom tu mamlka yote anayo mtamfanya nn
Hahaha,mkuu karibu Kigoma kwenye kilimo cha Vanilla ndiyo dili kwa sasa zaidi ya madini, mapori yapo ya kutoshaWatanzania mnapenda sana anasa na uwezo hamna. Huo muda wa kwenda uwanjani na kuangalia mpira mnautoa wapi? Tunapitia wakati mgumu kiuchumi and time is money.
Unaweza kusafiri nchini kilomita 500 ukakutana na mapori yasiyoendelezwa halafu mnakusanyika uwanjani kuangalia mpira.
Sasa hiyo nafuu. Fikiria MTU katoka Kigoma kwa mguu kuja kuangalia mechi kamwacha mkewe bila unyumba labda jamaa wanajisevia huko na watoto wapweke atasema niniHapa busara imepitiliza. Umelipa kiingilio, umeacha kazi, umeingia uwanjani kusubiri muda wa tukio, halafu anatokea kiongozi anasema tukio limeahirishwa. Kuvumilia si busara, bali ni ujinga.
Kaacha Mke jamaa wanajisevia huko. Hasara Mara mbiliKna mtu kaja kwa mguu kutoka kigoma
Ova
Wacha kudanganya watu wewe siyo mtanzaniaSiamini kama Rais Samia alikataza mechi hii kubwa isiendelee kisa ni uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mwinyi ulioandamana na birthday yake.
Matukio yote yalijulikana mapema na yalipangwa mapema.
1-Mechi hii ilijulikana itachezwa mapema sana sio dharura.
2-Tukio la uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi lilipangwa mapema ikiwemo Mh Rais na waalikwa wengine kuhudhuria.
Yupo mpima kina cha maji na anayejipendekeza na amechafua hali ya hewa anayetakiwa kuwajibika.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!