Mwalimu alisema yafuatayo, tukatae rushwa,umaskini,udini na ukabila.
Namuomba Rais Jakaya Kikwete atueleze udini katika uchaguzi wa 2010 ulikuwaje?
Kwani mwaka 2005 aliposhinda kwa zaidi ya 80% maaskofu na wachungaji walikuwa hawajui dini yake?
Nasema kuwa Kikwete pamoja na Zitto kabwe pamoja na baadhi ya wabunge cuf ndio wakwanza kuwagawa wananchi wa nchi hii kidini na kupelekea mauaji na mabomu yanayoendelea hadi sasa.
Kama kuna wa kwanza kulalamikia udini walitakiwa wawe wakristo wa zanzibar ambao tangu kupata uhuru wa nchi hiyo hawajapata rais,makamu wala katibu mkuu kiongozi au waziri katika serikali ya zanzibar.ikumbukwe kuwa wakristo wachache wa zanzibar ndio wa kwanza kupokea dini hiyo kuliko hata wengi wa tanganyika.
Tunataka kikwete atuambie udini aliokuwa akiutaja kwenye kampeni 2010 ni upi na alikuwa na maana gani.
NB: Naomba moderator usifute uzi huu na ukifuta futa na account yangu kabisa. hata tunatetea roho za watu zinazoteswa na wanasiasa.