Aliyosema tundu lissu.

SAUTI YA ZEGE

Member
Joined
Jan 31, 2011
Posts
18
Reaction score
3
Nimekumbuka kile alichosema Tundu Lissu pale mjengoni kuwa wakuu wa wilaya na mikoa ni wanasiasa na hivo hawapaswi kuingia kwenye kamati za maadili ya mahakama zetu,nakubaliana na hili kwa dhati kwa sbb ya kile kinachoonekana sasa kwa Nape,ameshindwa kujitambua kuwa yeye ni DC na kubakia kwenye majukwaa ya siasa,naomba kuwasilisha.
 
big up kwa hiyo avatar.
hivi huyu dogo ameshavua nepi za siasa?
 
Fact, sasa hivi hoyo sheria ikipita na kesi ikapelekwa kwa Nape kama DC lazima maamuzi yake yataangukiam upande cahama chake au watu wa chama chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…