Dunia yakoo
Senior Member
- Nov 23, 2019
- 139
- 214
Hatuzungumzii uwezo wa kujenga, tunazungumzia ameshajenga...Mbona hata mimi naweza kujenga shule na hospital !.
Mungu ambariki zaidi na zaidi[emoji666] Amejenga shule yenye thamani ya €270,000.
[emoji666] Amejenga hospitali yenye thamani ya €530,000...
KajengeMbona hata mimi naweza kujenga shule na hospital !.
Siyo kupendana shida ni kwamba mtu wa Afrika Magharibi akitajwa kua ni tajiri anakua ni tajiri kweli wakati hapa bongo mtu anakua tajiri akiwa na nyumba na ISTWenzetu africa magaribi wanapendana sio kama sisi tz
Hatimaye Diamond anunua Private JetTanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.
Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.
Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Kwahiyo we jamaa wa Uyole umezama kwa Diamond Mwaplatnumz?Kwa hiyo unachagua vile -ve tu ndio unaandika?
Huoni msikiti aliojenga Kigoma, Kulipia kodi watu 500, kuwekea vijana wa bodaboda takribani 1000 full tank kila mmoja, kuajiri vijana wenzake, kufunguza watu kipindi cha ramadhani, kuwapa vijana mitaji n.k
Ulichochagua wewe kuona ni -ve tu, swala la kubadilisha wanawake hakuna Mwanaume awaye yeyote asiyebadilisha wanawake, ni vile tu sisi wengine hatuonwi kwa kuwa sio mastar, huku Uyole Mbeya viwembe tupo wa kutosha tu.
Msipangie watu matumizi ya pesa zao, walitafutia juani waacheni watumie vile wanapenda, ukipata wewe pesa nenda kafanye kama Sadio Mane.
Kuhusu tafrija za ufuska nadhani bado hujaona, nenda Tabata ukaone orgy zinapigwa live ndo utajua Diamond cha mtoto tu.
Familia 500?? Yenu ipo hapo au ipo unayoijua ya mwana JF yeyote???Kwa hiyo unachagua vile -ve tu ndio unaandika?
Huoni msikiti aliojenga Kigoma, Kulipia kodi watu 500, kuwekea vijana wa bodaboda takribani 1000 full tank kila mmoja, kuajiri vijana wenzake, kufunguza watu kipindi cha ramadhani, kuwapa vijana mitaji n.k
Ulichochagua wewe kuona ni -ve tu, swala la kubadilisha wanawake hakuna Mwanaume awaye yeyote asiyebadilisha wanawake, ni vile tu sisi wengine hatuonwi kwa kuwa sio mastar, huku Uyole Mbeya viwembe tupo wa kutosha tu.
Msipangie watu matumizi ya pesa zao, walitafutia juani waacheni watumie vile wanapenda, ukipata wewe pesa nenda kafanye kama Sadio Mane.
Kuhusu tafrija za ufuska nadhani bado hujaona, nenda Tabata ukaone orgy zinapigwa live ndo utajua Diamond cha mtoto tu.
Familia 500?? Yenu ipo hapo au ipo unayoijua ya mwana JF yeyote???
Kwahiyo we jamaa wa Uyole umezama kwa Diamond Mwaplatnumz?