Aliyoyafanya Sadio Mané katika kijiji chake

Wewe utakuwa demu wa diamond
 
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.

Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Acha roho mbaya kijana, vijana aliowaajiri kwenye miradi yake hujaona au wewe unahesabu mabaya tu.

Mchizi kawekeza kwa kiasi chake, ni mlipa kodi, kaajiri watu na anaitangaza nchi.

Hata ungekua wewe kina tanasha usingeacha wapite hivi hivi😀😀
 
Mwambie huyo
 
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.

Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Tofautisha kati ya mtu mwenye 'real money' na mtu wa kuunga unga na msaka sifa hela ipi huyu domo anayo!
 
Siyo kupendana shida ni kwamba mtu wa Afrika Magharibi akitajwa kua ni tajiri anakua ni tajiri kweli wakati hapa bongo mtu anakua tajiri akiwa na nyumba na IST
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu ametoa kitu ambacho wengi tunakitarajia kwa mtu aliyetoboa kutoka katika jamii zetu.

watu wetu wanajua sisi ni masikini,kula yetu ni kubahatisha,shule zetu ni taabani ila wanatoboa wakifika huko wanajifanya wazungu na kuwaoa mademu wa huko ili kudhihirisha kwamba sasa wamebadirika status.

yote kwa yote hakuna mtu maarufu mwenye hela africa za kununua
RR black budge kama bro simba.
 
Angekuwa bongo , pamoja na yote hayo Bado watu wangemchukia na wangemvizia kumroga au kumuua kabisa ..!
Tokea ukue mpaka hapo ulipo ulisharogwa? Kwanini uitazame bongo kama nchi ya wachawi na watu kwenye roho mbaya? Ondoka hatuwezi kukaa na wanafiki
 
Tanzania tuna Bilionea anaitwa Diamond platinum, vitu pekee anachojivunia kijamii ni kubadilisha wanawake, kufanya tafrija za ufuska na kubadilisha magari.

Kuna kitu kikubwa mnoo cha kujifunza kutoka kwa Sadio Mane, Samwel Eto, Nwanko Kanu.
Hahahaha Daaaaah [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siyo kupendana shida ni kwamba mtu wa Afrika Magharibi akitajwa kua ni tajiri anakua ni tajiri kweli wakati hapa bongo mtu anakua tajiri akiwa na nyumba na IST
Hakyanani hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…