Aliyoyapitia Membe yanatosha. Msiendelee kumuumiza

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nyuzi zinaanzishwa za kumsingizia Membe mambo ya uongo kabisa. Yaani mtu anasema Membe alikuwa na ushawishi? Why mumsingizie marehemu uongo?

Kama ana mabaya yake naye ni binadamu hakuna mkamilifu ila si vizuri kumsingizia uongo. Mwingine anasingizia Membe alikuwa smart kichwani... Unamtizama unasema huyu haoni kama anapata dhambi kumkebehi marehemu?
 
Kwamba alikuwa smart kichwani 😁😁😁daah itoshe kusema membe alikuwa na Mende kichwani, jamaa alikuwa chenga Sana ,
 
1984 alikuq afisa usalama wa ikulu wewe ulikua wait..?
 
Tunahitaji kuwa na fikra chanya kwa Mustakabali mwema wa taifa.
Mtu aliyekufa ataumizwa vipi?
Wanaoumizwa ni watu waliokuwa naye, wakimtegemea akiwa hai.
Wafu hawana uwezo wa kufanya chochote tena, wala hawahisi maumivu. Ilitajiwa uandike msiwaumize watu wake waliobaki hai.
 
Kwakweli mimi mwenyewe nashangaa, ifike hatua Moderator chukueni hatua. Hii tabia itaota mizizi nchini. Anapofariki kiongozi yoyote haipendezi kuona watu wanafurahia na kuandika dhihaka kwenye mitandao.
 
kazikwe naye
 
kazikwe naye
 
Netizens wa Tanzania mnajulilana sana kwa hayo.. usiumie utazoea tu... Mys
 
Zitto kadai alokiwa mtu na nusu
 
Wallah kama chumba chako si kizuri basi kirekebishe uinjoyi maana we peponi huendu ng'oooo
 
Tayari tumeshamzika ndugu yetu hayati BCM (Rip)

Tuko kijijini hapa tunaendelea na matambiko.......hebu mpumzisheni jamaa yetu.....

Rest easy baba Cecy ,amen[emoji120]
 
Kwakweli mimi mwenyewe nashangaa, ifike hatua Moderator chukueni hatua. Hii tabia itaota mizizi nchini. Anapofariki kiongozi yoyote haipendezi kuona watu wanafurahia na kuandika dhihaka kwenye mitandao.
Hawakuwahi kuchukua hatua wakati anatukanwa JPM. Unataka waanze kuchukua hatua kwa huyu dagaa?

Au umenusa soon kuna mzigo mzito unadondoka Kule Lushoto?
 
Kazikwe
 
Kwakweli mimi mwenyewe nashangaa, ifike hatua Moderator chukueni hatua. Hii tabia itaota mizizi nchini. Anapofariki kiongozi yoyote haipendezi kuona watu wanafurahia na kuandika dhihaka kwenye mitandao.
Panua akili, nafasi za kisiasa unakuwa kiongozi pale unapo chaguliwa ukipigwa chini wewe sio kiongozi tena.

Kwahiyo hakufa kiongozi, labda kwenye familia yake.
 
Uzi tayari. Uko smart kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…