Aliyozungumza Mohammed Dewji mbele ya Waandishi wa Habari

Efendi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
314
Reaction score
438
SHUKRANI:
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugezi Simba na Mwenyekiti wa Simba waliwashukuru watu wote kwa support yao kwa Simba mpaka sasa kwa nyanja zote.

SHABAHA
Majengo makubwa yalijipangia wote yalikuwa haya:

SHORT TERM PLANS:
1. Kuingia Group Stage CL
Hili limefanyika na kuonyesha kuwa tupo katika timu 16 Bora barani Africa katika mashindano.

2. Kutetea Ubingwa wetu
Hili likiwezekana inatafanya tuweze kushiriki tena CL na kuendelea kupata uuzoefu mkubwa kama wenzatu wanavyofanya kila mara wapo huko.

3. Miundombinu
Hii nikipata uwanja wa mazoezi na tayari tushamaliza hatua zote za awali za pitch tunasubiri taratibu za serikali katika kupata Nyasi zetu baada ya muda tutakuwa tunafanya mazoezi kwetu Bunju.

4. KKuwana timu ya vijana na Wasichana
Hililifanyika nnamtokeo ya majaribio yameonekana sasa tunaenda kuweka mikakati zaidi kwenye hili.

MID TERM PLANS
1. Usajili Mzuri wa wachezaji wanaoendana na wenzetu maana sasa tushaelewa ili kufika huko lazima twende nao sawa katika hili kuacha mambo ya kuleta wachezaji wa majaribio Bali kuleta waliokamilika gili nahitaji fedha nyingi ila tutaweza.

2. MIUNDOMBINU
Kujenga miundombinu muhimu ya kuwezesha kwenda kwenye long term plan ya ukamilifu wa kila kitu katika uwanja wetu hasa vitu vya mazoezi na hostel.

3.YOUTH+QUEENS PROGRAMS
Kuweza kuwa na timu kamili zitakazoweza kulewa vijana kuanzia 17 na 20 pia kuwekeza katika soka la Wanawake kkamamnavyoona Simba Queens sasa iwe kamili.

4. BAJETI KUBWA
Kuweza kufanya Investment kubwa iilituwe na bajeti kubwa katika kuendana na soka linavyohitaji katika kununua wachezaji wazuri na kuwatumia vizuri. Sasa hivi Simba inajiendesha kwa hasara ila ni malengo makuu yetu lazima tupate fedha na zote nirudi katika kujenga miundombinu ya Simba hakuna faida itakayopatikana sasa iondoke tunatakakuwa Sustainable sio kuweka profit.

LONG TERM PLANS
1. Kikamilisha mambi yote ya Short na Mid Term Plans
2. Kuwa mabingwa wa Africa.

MUDA HUU ULIOPO TUONGELEE HAYA YAFUATAYO:
1. LAZIMA WOTE TUELEWE
  • Mwaka hu ndio tunafanya mbadaliko ndani ya Simba
  • Mwaka huu ndio tumepata Bodi ya Simba katika Mfumo huu mpya.
  • Mwaka huu ndio tunaweka mwanzo wa miundombinu yetu
  • Biashara yeyote ile kupata mafanikio lazima kulitia hatua kkkadhakupandaangazi tofauti hatuwezi kupanda lift ili tufike kileleni hapana lazima tutumie ngazi nazo lazima tuzipande.
  • Historia inatuonyesha tunaweza kushinda maana wamekuja wengi hapa nyumbani Tumewafunga.
  • Ushindi wetu upo katika mashabiki mchezaji wa 12 uwanjani tunawaomba sana twende wote kupata nguvu timu.
  • Matokeo mabaya kwetu ni chachu ya kushinda tunaelewa tuna mmajeruhiwengi naakukosa experience ya mashindano haya ila ni wakati wetu.
2. WACHEZAJI
Kuna matatizo yapo ndani ya wachezaji kifupi tumeshawambia yeyote ambae hataonyesha kuitumikia Simba mkataba wake ikaisha anaondoka tutabaki na wale ambao wana utayari na Simba.
Tuna wachezaji toka ukanda wetu na ni Bora ila huko tunapoenda itabidi ttuangalieukanda unaofanana na wenzetu nasi ttwendehuko ili ttupatematokeo yanatoenda na wenzetu.

3. KOCHA MSAIDIZI
Tumempa kazi CEO afanye hiyo kazi na kocha apatikane kwa kutumia njia iliyotumika kumpata Kocha Mkuu wa sasa Assems maana alifanyiwa IInterview wataalam wazalendo zaidi ya 10 tukaletewa mapendekezo hivyohivyo kwa huyu itafanyika hivyo chini ya uangalizi wa CEO.

4. NAFASI ZA KAZI
Simba sasa imekuwa Kampuni hivyo kuna nafasi lazima zifanywe na wataalam Tutatangaza nafasi za kazi kupata hao watu na watafanyiwa mchujo kampuni zzinazofanyakazi hizo na watakaopatikana Watalipwa kulingana na markert Value ilivyo.

5. BENCHI LA UFUNDI
Pia tunataka kufanya maboresho ya benchi zima la ufundi kwa kwanza kupata Mkuu wake Technical Director akatekuwa na lugha moja na Kocha halafu kupata wataalam wwengine wasaidizi wa kocha mfano Wataalam wa kusoma mchezo, Saikolojia na wengine ili kuendana na mahitaji ya sasa.

MECHI NA AL AHLY - 12/02/2019
Tumeweka makakati kuwa lazima tushinde hii memedhiki tuweze kuwa katika nafasi ya kupitia malengo yetu.
Na kwa kutambua hilo tunatakiwa tufanye haya:

1. Kuongea na benchi zima la Ufundi na Wachezaji kuelewa wajibu wao.
2. Kushusha viingilio ili kupata watu wengi katika kushabikia uwanjani.
3. Kuwaomba Watu wote kuja uwanjani Wakiongozwa na mimi mwenyewe Mo katika kutoa hamasa kwa wachezaji.

Matokeo ya hii mechi yatatoa MABADILIKO makubwa ndani ya Simba yetu na nchi kwa ujumla.

YES WE CAN

This is Simba

Hashim Mbaga
0764100001

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa pale technical bench litakaloshiba watu wenye taalamu tofauti e.g mtaalamu wa kusoma mchezo,saikolojia,fitness etc simba itatisha sana wakitekeleza haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…