Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo

Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
62
Alizeti ni chanzo cha malisho ya mifugo

Alizeti haitoi mafuta pekee kwa afya ya binadamu, lakini pia inatoa chakula kwa wanyama na viumbe wengine mfano mifugo (ng’ombe, mbuzi, kondoo, kuku na nguruwe, nyuki na ndege wa porini.
Unapotengeneza chakula cha mifugo peke yako, si tu kupunguza gharama, lakini pia inakupa uhakika wa kuwa na chakula bora. Pia Wafugaji wa nyuki wanaopanda alizeti wanapata faida ya ziada kwa kupata asali iliyo bora kwa sababu nyuki hukusanya poleni kutoka kwenye alizeti wanapofanya ushavushaji. Kujifunza zaidi jinsi ya kutengeneza mchanganyiko wa chakula wenye alizeti kwa mifugo nenda hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
 
Back
Top Bottom