Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Thank you Vida.It takes over a month for incubation period to commence. After the end of this month we will feel the real magnitude of this pandemic.
Though data faking is surely happening as this disease is more of biological and bioengineering weapon.
Sent using Jamii Forums mobile app
uchaguzi utakuwaje....!!!!!??????Hichi kurusi kikiingia hapa bongo mbona watu watapata likizo zisizo za lazima aisee. Maana hatutaruhusiwa kuchangamana
Ikiingia Tanzania ianzie mkabala na ferry
naona corona anasogea sogea.
Pongezi kwa awamu ya 5 kwa kutuletea corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataahirisha, nadhani wasubiria hadi ifike hicho kipindi wazuie hadi kampeniuchaguzi utakuwaje....!!!!!??????
Asili ya corona ni Italy hilo ni jina la mji huko.Kwanini Italy ina wagonjwa wengi kuliko hata nchi jirani na China yenyewe. Na kwanini wagonjwa wengi duniani wameambukizwa na Italy ukiachana na chanzo cha China.
Hiyo meli au vyombo vya usafiri kwa ujumla ni chanzo kikubwa kwa kusambaza maana hewa hiyohiyo mnapambana nayo.
Corona ni kuendana na neno Crown. Imeitwa hivo kutokana na inavyofanana kwa umbo. Ni kama vvibro comma vinaitwa comma kwa sababu umbo lake liko kama nukta ya mkato. Huo mji wa Italy unaoitwa hilo jina siujui labda ulete uthibitisho na coordinates ukiweza.Asili ya corona ni Italy hilo ni jina la mji huko.