All about ave

hiyo tamthilia huwa wanatafsiri kwa kiswahili nianze kuiangalia?
 
ha hahaaaaaaaaaa cpu tatizo lako hujui hata kusoma nyakati!! yawezekana kachoka
 
ha hahaaaaaaaaaa cpu tatizo lako hujui hata kusoma nyakati!! yawezekana kachoka

Wala hajachoka, anafanyaga hivi ili aweke akiba utamu aupate tena baadae
 
Yani hamna hata mtu mmoja anaeangalia hapa?
 
Lizzy mwenyewe nimeshangaa!!
watu wako bussy wanasaka mahela tu, wakitoka kazini bar!! inaelekea hakuna anayewahi kurudi nyumbani!!!
 
CPU mie simo, ngoja lizzy akamwambie Michelle
 
Lizzy mwenyewe nimeshangaa!!
watu wako bussy wanasaka mahela tu, wakitoka kazini bar!! inaelekea hakuna anayewahi kurudi nyumbani!!!
Watakua wanashindia taarifa za habari na movie!
 
Lizzy mwenyewe nimeshangaa!!
watu wako bussy wanasaka mahela tu, wakitoka kazini bar!! inaelekea hakuna anayewahi kurudi nyumbani!!!

Aaaah wapi! Kwani ukirudi home unakuta nyumba nzima ina tamthilia???!
Mi nimeshapiga marufuku wadogo zangu kuangalia hizo marichui nyumban kwa mzee wangu. Wanaacha kusoma wanafanya mambo yasiyowasaidia ktk maisha yao.
Nazichukia sana hizo tamthilia coz zinaharibu sana watoto.
Si ajabu ni sababu moja wapo ya kufeli wengi fom four mwaka huu
 
Bora niende Bar (kama ningekuwa na hobby hiyo) na friends kuliko kukaa home kuangalia hayo mazagazaga
 
naona hizi tamthilia zinawaharibu kina dada manake wanaiga na kujaribu kupractice kwa wapenzi wao mwishowe hujikuta wakiambulia kuchezewa. msisahau ss ni watanzania na tuna tamaduni zetu za kiafrika.......eeeeeh bora nsikilize radio maria tanzania ipo online kwenye net..
 
ha hahaaaaaaaaaaa!! Michelle unafaa kuwa comedian!!

Ni kweli Susy,natafuta tu pa kuanzia......naipenda hiyo kazi.....:hand:

The Following User Says Thank You to Susy For This Useful Post:

Michelle (Today)​
 
Tamthilia??? hapana aisee. niliangalia zamani sana days of our lives,passion egoli ila kwa sasa sina muda wa kufatilia kabisa.ngoja waje wataalam
 
Naomba link yake
 
Tamthilia??? hapana aisee. niliangalia zamani sana days of our lives,passion egoli ila kwa sasa sina muda wa kufatilia kabisa.ngoja waje wataalam

:busu:busu:busu:busu:busu
:hug::hug::hug::hug::hug:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…